View attachment 2920756


Hii ndio Taarifa ya Serikali iliyosambazwa kwa vyombo vya habari usiku huu, Kwamba Mzee huyu ataagwa na Wananchi wenzake kwenye Uwanja wa Uhuru tarehe 1/3/2024, kabla ya kusafirishwa kuelekea kwao Zanzibar kwa Mazishi yaliyopangwa kufanyika Tarehe 2 March.

Apumzike kwa Amani
kabla ya kusafirishwa kuelekea kwao Zanzibar kwa Mazishi yaliyopangwa kufanyika Tarehe 2 March.
 
Waislamu hawaagi mwili. Huyo ni kiongozi wa kiseclar alikuwa kiapo cha utii wa katiba na sheria so yeye ni mali ya Uma. Ukifanya kazi za Uma dini au dhehebu havina nafasI Mungu ailaze mahali pema peponi RIP
 
MSIBA MZITO Kwa Taifa.
Rais Mstaafu wa JMT.
Baba mzazi wa M.Kiti wa Baraza la Mapinduzi.
Mkuu wa chuo bora cha Afya Tanzania (Muhimbili).

Siku ya kukumbuka kifo chake itakuwa kila baada ya miaka minne ... (Miaka yenye mwezi wa pili wenye siku 29 tu)
View attachment 2920492

Hii picha ili trend kipindi cha msiba wa Rais John Pombe.
Waliotangulia wote Mungu awape pumziko la amani!
 
Walisema mzee aliacha wosia wake kuwa azikwe kwao Mkuranga; imekuwaje watoto wamedharau matakwa ya marehemu?
Kuna athari gani kwa familia wanapokiuka matakwa ya marehemu kama yalivyoainishwa kwenye wasia wake?
Elewa mwanawe ni rais wa Zanzibar.
 
Ana siku nying ameondoka mzee wetu, nadhani ndo taratibu kutangaza baada ya muda kupita huku wakiweka mambo sawa.
 
Mwinyi habari ingine.
Rais pekee aliyewahi kutembea na Land Rover 110 amekaa mbele huku amefungua vioo bila escort ya washika bunduki.
Mzee alikua anajua kabisa Hana adui maana hakumtendea MTU ubaya
Sasa njoo kwa Marais wa Uganda na Burundi. Utakuta rais anasindikizwa na vifaru, ndege za kivita, silaha za kivita, viootinted halafu bullet proof, barabara inaandaliwa masaa mawili kabla rais hajaoga ili tu apitekwa spidi Kali maana anajua amewakosea wengi.
Mwinyi hakukosa mapungufu ya kibinadamu lakini kumuonea mtu, kuvunja nyumba ya mtu, kuua MTU asiye kua na hatia, kumdhulumu mtu shamba aukujilimbikizia Mali.
 
Back
Top Bottom