Hapo VIP!
Unajua yanga ni club inayoafanya maandalizi kwa kutumia mbinu nyiingi sana ,hususana akiwa Na match Na mtani wake Simba sc,yanga yupo tayari kutumia mbinu yeyote zagizani au zinazoonekana..mfano wameanza kuandika barua TFF kuomba kadi nyekundu ya Aziz-key kufutwa,wapo serious..wakati...
Yanga ni master mind sana hapo tutegemee kuroga uwanja ili Simba asishinde hio tarehe 10 wao wanatumia KMC stadium ila imekuwa ghafla kutaka kucheza mechi ya kirafiki uwanja wa uhuru ambao Simba anautumia kama uwanja wa nyumbani wamekuja ili wafukie matunguli yao uwanjani .
Simba kama Yanga...
Klabu ya Yanga Sc imekubali kichapo cha bao 1-2 dhidi ya Les Aigles Du Congo katika mchezo wa Yanga Day uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru.
Matokeo hayo yamekuja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Yanga Day, huku Les Aigles Du Congo ikiibuka na ushindi muhimu mbele ya mashabiki wa Yanga...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ukarabati wa Uwanja wa Uhuru umefikia zaidi ya asilimia 98 na hivi karibuni utakuwa tayari kwa ajili ya matumizi ya vilabu vya Simba na Yanga kuelekea Simba Day na Yanga Day.
Msigwa ameeleza kuwa uwanja huo umetengenezwa kwa viwango vya...
Huyu jamaa anapenda ulozi sana! Hata jimboni kule wenzie walililamika hilo
==========
Hoja ya Mbunge Babu Tale mbele ya Waziri Makonda kuhusu kuachwa kwa maoneo ya kufukia Dawa Viwanjani
Salaam!
Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria,
Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
Kuna watu waliokatia tamaa maisha, wikendi hii wakavalisha wenzao Sanda ili kuichafua image ya Simba iliyojengwa kwa muda mrefu kwa machozi, jasho na damu.
Sasa hivi hao watu wanapiga kelele kutaka Simba ifungiwe kuingiza mashabiki, wanadhani CAF ni shangazi zao. Watu wanachukulia mambo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, leo tarehe 1 Septemba 2024.
https://www.youtube.com/live/osYsFlm-yM4?si=1Cpa3zDEHIfIEkcn
"Jeshi letu...
Nimemsikia Kitenge anasema hapa kuwa uwanja wa Taifa umejaa mpaka mashabiki wengine wameingia uwanja wa Uhuru, swali langu je hao mashabiki nao walinunua tiketi au walipewa ofa tu? Na kama walinunua tiketi iweje wakose nafasi? Au tiketi ziliuzwa nyingi kuliko idadi ya watu wanatakiwa kuwepo...
Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.
Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024.
Rais amesema
"Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
dar
kifo
kuagwa
kutangaza
mbele
mstaafu
mwendazake
mwili
mwinyi
mzee
mzee mwinyi
rais
rais mstaafu
rais samia
sababu
sababu za
samia
sana
tarehe
uhuru
ukaribu
ushirikiano
uwanjauwanjawauhuru
zanzibar
Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri.
Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa...
Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi.
Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa.
Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika...
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.
Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi.
Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
Yaani Timu iliyobeba Ubingwa na kufika Fainali ya CAFCC katika Siku yao ya Wananchi pamoja na baadae Kuruhusu Fungulia Ng'ang'a ( Mbwa ) Uwanja wa Mkapa haukujaa na hata kule Shamba la Bibi ( Uhuru Stadium ) haukujaa.
Halafu leo anatokea Pimbi Mmoja ( tena ametumika sana Kutuumiza Simba SC )...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.