Let me remind myself wimbo wa chipukizi enzi zangu kumsindikiza Rais wangu Mwinyi, ndiye Rais aliyeweka misingi ya maisha yangu...God bless you baba...

"Twende tupige kura tumchague Ali Mwinyi×2

Sifa zake Ali Mwinyi;
Mwinyi ni mtu wa busara,
Mwinyi hana upendeleo,
Mtetezi wa wanyonge;

Twende tupige kura tumachague Ali Mwinyi"

Rest In Power Mzee wetu Mwinyi you are worthy of it!
 
Yuko Kama Babu yangu,
Alimwelewa sn mzee ruksa,

Alikua hampendi kbs mwalimu mpk anafariki, anamlaumu kuwaondolea mkoloni,

Anadai maisha awamu ya mwalimu yalikua magumu kuliko ata alivokuepo mkoloni
Mzee wangu anasema baba yake (babu)alikua na hela ya kununua bati,Ila walikua wanakaa nyumba ya nyasi,kisa Sera za nyerere,..Yani kibunda unacho lakini hqta sabuni ya kuogea hupati polite,Hadi sabuni nimekumbuka anaitwa LIFE BOY hah
 
Sasa nimepata Jibu kwanini Dogo Tiba Tiba Kitaaluma alikuwa na Ruti za Dar es Salaam mara kwa mara huku Nazem Hospital pakiwa busy, Maswali mengi Getini huku akiziacha Karafuu zikikua na zikizaana kwa Uwingi.
 
Nilivyoona matingatinga yapo busy mkuranga njia ya kuelekea kwao kimoyomoyo nikajua iko namna hawakutaka kuchanganya na tukio la mamvi!
 
Back
Top Bottom