Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,128
- 143,646
Heri nife kuliko kuishi kwa kuogopa.Huogopi kutekwa?
Heri nife kuliko kuishi kwa kuogopa.Huogopi kutekwa?
**** wewe mi si mzanzibar ila machinga watokeHuo ndo umeona uchafu? Mnakwama wapi nyie Wazanzibari?
Kwa mpangilio mbovu wa dar lazima pawe pachafu tu hakuna namna. Mvua ikinyesha mji wote unanuka.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa ni aibu kwa miji kuendelea kuwa michafu wakati nchi inalenga kukua kiuchumi na kuvutia watalii.
Ili kukabiliana na changamoto hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wapya na mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kwa kusimamia usafi kikamilifu. Amekosoa utaratibu wa halmashauri na wilaya kuwapa mikataba ya usafi madiwani au watu wasio na vifaa na uwezo badala ya wakandarasi wenye sifa, huku akiagiza kuwa walioshindwa kutekeleza wajibu wao waondolewe na mikataba ipewe watu wenye uwezo wa kuweka miji safi.
Pia soma
~ Dar: Viongozi wana mpango gani na usafi wa mazingira? Maeneo mengi ni machafu, hakuna mkakati wa wazi unaotekelezwa
~ Huu uchafu mtaroni hapa Sinza Africasana, wahusika hawauoni au hakuna wa kuwajibika?
~ Dar: Mtaa wa kidosho - Mikocheni uchafuzi wa daraja linalopitisha maji taka ni chanzo cha malaria
~ Dar es Salaam: Mtaa wa Darajani - Mikocheni A, maji ya kinyesi yanasambaa tu mtaani
~ Watu wanatupa taka nyingi kwenye mabonde ya mito. Hiyo ni mbaya kwa afya na mazingira
~ Hizi mvua na mrundikano wa taka maeneo mengi ya Dar, mamlaka hazioni hatari ya kipindupindu?
~
Kazi anayo mudu huyo ni kula na kunya tu ...leo hadi mjini wauza miwa na machungwa wanachafua mji wazi wazi ...Chalamila anasemaje
umeiona hiyoNaona ndugu yangu Mnyalu,RC,ameshaanza kuondolewa.Naona wameanzia mbali.
Malaya Tulia utakuja kufirwa hapaNdiyo maana mnaitwa nyumbu
Chalamila yupo bize na mabasi ya mikoaniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa ni aibu kwa miji kuendelea kuwa michafu wakati nchi inalenga kukua kiuchumi na kuvutia watalii.
Ili kukabiliana na changamoto hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wapya na mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kwa kusimamia usafi kikamilifu. Amekosoa utaratibu wa halmashauri na wilaya kuwapa mikataba ya usafi madiwani au watu wasio na vifaa na uwezo badala ya wakandarasi wenye sifa, huku akiagiza kuwa walioshindwa kutekeleza wajibu wao waondolewe na mikataba ipewe watu wenye uwezo wa kuweka miji safi.
Pia soma
~ Dar: Viongozi wana mpango gani na usafi wa mazingira? Maeneo mengi ni machafu, hakuna mkakati wa wazi unaotekelezwa
~ Huu uchafu mtaroni hapa Sinza Africasana, wahusika hawauoni au hakuna wa kuwajibika?
~ Dar: Mtaa wa kidosho - Mikocheni uchafuzi wa daraja linalopitisha maji taka ni chanzo cha malaria
~ Dar es Salaam: Mtaa wa Darajani - Mikocheni A, maji ya kinyesi yanasambaa tu mtaani
~ Watu wanatupa taka nyingi kwenye mabonde ya mito. Hiyo ni mbaya kwa afya na mazingira
~ Hizi mvua na mrundikano wa taka maeneo mengi ya Dar, mamlaka hazioni hatari ya kipindupindu?
~
"hili nalo mkalifanyie kazi"ndio kamaliza hapo!Kwahiyo?
Basi tuseme ni kwa sababu ya wafuasi wa CHADEMA wanamwaga mavi barabarani!hapo vipi?Uwe unatumia akili kufikiri