Taratibu mkuu! Nimeuliza swali na narudia tena hivi huyo SSH kwenye hotuba zake ukiachana na hao UVCCM viwanjani, je kwenye live streaming huwa anapata hata watizamaji hata mia Tano???Nje ya hoja, hayuko kutafuta followers
Uwe unatumia akili kufikiriNi sahihi kabisa ni pachafu sababu ya serikali haramu ya awamu ya sita
Huo ndo umeona uchafu? Mnakwama wapi nyie Wazanzibari?Tatizo ni wanasiasa
Halmashauri iachwe iondoe machinga wote barabarani
tanroad na tarura wakataze watu kufanya biashara kwenye barabara zao
Unazungumziaje kwenda kote huko wakati ofisini kwako hapo Chadema ni matakataka yamejaa hata hamuokoti.Tanzania tuna hasara sana. Mtu anajiita rais anazungumzia makopo iliyokutana nayo barabarani🤔 Wenzie wanawaza kwenda mwezini, Matumizi ya Nuklia, wanaumiza kichwa wafanye nini kuwaletea maendeleo wananchi wao.
Mungu tuokoe.
Una akili timamu?Unazungumziaje kwenda kote huko wakati ofisini kwako hapo Chadema ni matakataka yamejaa hata hamuokoti.
Kutwa kupiga kelele za no reforms mkiwa kwenye lundo la uchafu.
Kukuzidi wewe na bosi wako.Una akili timamu?
Eti wanataka iwe safi wakati wao ndo wanaichafuaKwahiyo?
UKiona nchi ni chafu ujue rais wa nchi hiyo ni zero brainUnazungumziaje kwenda kote huko wakati ofisini kwako hapo Chadema ni matakataka yamejaa hata hamuokoti.
Kutwa kupiga kelele za no reforms mkiwa kwenye lundo la uchafu.
Naona ndugu yangu Mnyalu,RC,ameshaanza kuondolewa.Naona wameanzia mbali.
Kichwa Senene anachojua kuropoka maneno ya kejeli mara kijana ukiuza uduvi utaolewa.
Huogopi kutekwa?Pumbavu we Samia. Faak you.