Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa ni aibu kwa miji kuendelea kuwa michafu wakati nchi inalenga kukua kiuchumi na kuvutia watalii.
Ili kukabiliana na changamoto hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wapya na mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kwa kusimamia usafi kikamilifu. Amekosoa utaratibu wa halmashauri na wilaya kuwapa mikataba ya usafi madiwani au watu wasio na vifaa na uwezo badala ya wakandarasi wenye sifa, huku akiagiza kuwa walioshindwa kutekeleza wajibu wao waondolewe na mikataba ipewe watu wenye uwezo wa kuweka miji safi.
Pia soma
~ Dar: Viongozi wana mpango gani na usafi wa mazingira? Maeneo mengi ni machafu, hakuna mkakati wa wazi unaotekelezwa
~ Huu uchafu mtaroni hapa Sinza Africasana, wahusika hawauoni au hakuna wa kuwajibika?
~ Dar: Mtaa wa kidosho - Mikocheni uchafuzi wa daraja linalopitisha maji taka ni chanzo cha malaria
~ Dar es Salaam: Mtaa wa Darajani - Mikocheni A, maji ya kinyesi yanasambaa tu mtaani
~ Watu wanatupa taka nyingi kwenye mabonde ya mito. Hiyo ni mbaya kwa afya na mazingira
~ Hizi mvua na mrundikano wa taka maeneo mengi ya Dar, mamlaka hazioni hatari ya kipindupindu?
~ Mwenge: Uchafu unarundikwa holela kwa muda mrefu pembezoni mwa makutano ya barabara; mamlaka zipo wapi?