raisi samia

On 19 May 2024, an Iranian Air Force helicopter crashed near the village of Uzi, East Azerbaijan, Iran, killing President of Iran Ebrahim Raisi, Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian, Governor-General of East Azerbaijan Malek Rahmati, representative of the supreme leader in East Azerbaijan Mohammad Ali Ale-Hashem, the head of the president's security team, and three flight crew. It was en route in a convoy of three helicopters from the Giz Galasi Dam to Tabriz.

View More On Wikipedia.org
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Raisi samia na kashfa zake kumbe ile kauli ya kusema kuna watu wamelipwa ndio yeye kufanya haya.

    Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza. Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa. Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hongera sana raisi Samia kwa kutuletea huu ushindi

    Kwa hakika Tanzania imetikisa Dunia, taji la miss Grand sio dogo, bila juhudi za serikali yetu tukufu tusingeweza kufanikisha hili, niwashukuru kwa dhati watu maarufu, niffer, malisa_gj na wengine kwa kufanikisha hili jambo kwa kueleza wananchi namna ya kupiga kura. Ni wakati wa mataifa kuona...
  3. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa...
  5. NYAQ

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu uongozi wa Rais Samia na siasa za Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji. 1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio Tanzania imeendelea...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume za Rais Samia kuhusu 29/10 ni feki na hazisaidii chochote kwa sababu zinapewa kazi ya kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji yaliyofanyika

    Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Neno ugaidi limeingia rasmi kusibitisha kisasi cha wanzanzibar na raisi samia.

    Bila kujua watanganyika sasa mtaitwa wote magaidi kama mlivyo wafanyia wajomba zake wale uhamusho. Hii ni visasi na sio vya kusema anaficha ni kwamba anaonuesha wazi wazi kuwa kinacho fata ni kufuta Tanganyika. Msipo nielewa leo mtanielewa kesho.Tanganyika inafutwa kwa yoyote mwenye kuhoji ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kosa hili la kidiplomasia la Rais Samia ndio lilisababisha mpango wa Dangote wa Refinery ubadilishwe kutoka Tanga na kwenda Mombasa

    Mambo yalikuwa hivi. Kulikuwa na sababu tosha kabisa za kujenga Refinery ya Dangote Tanga. Museveni, Ruto na Dangote walijadiliana hili, na wakasema kwa sababu bomba la mafuta kutoka Uganda linaenda Tanga basi ni vema refinery ijengwe Tanga. Na hata ilifikiriwa kwamba bomba jingine lingeweza...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sijui kama Rais Samia anajua madhara uranium anayotamba nayo na Historia ya Urusi

    Madereka anakwambia ukifatilia hii nchi masaa 12 kinachofata unaweza kuwa kichaa au mungu kukusaidia tu. Tunaelewa kwamba madini ya uranium yapo.Je unayekwenda kumuomba kuwa mtu wako wa karibu unajua historia yake. Ukiangalia historia ya urusi pale Afghanistan alichokifanya,sudani na sehemu...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais wetu amefanya Tanzania kuwa mfano kwa diplomasia kila kona Afrika

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameishukuru Tanzania kwa mchango wake katika maendeleo ya Uganda, huku akisisitiza kutoisahau Tanzania.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia ameonyesha utu kwa vitendo kutembelea magereza

    Watanzania tujisikie farari kumpata mama anatujari na ana utu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hakuna hotuba ya Rais Samia akikemea rushwa na ufisadi au wanamsingizia? Kama unayo tuwekee hapa

    Baada ya Nchimbi kuongea jinsi Nyerere alivyochukia na kukemea rushwa na kukataa kabisa kutumia nafasi yake ya uraisi kuwanufaisha watoto wake, ndugu zake na jamaa wengine wa karibu, kumekuwa na maneno mengi mitaani kwamba Makamu wa Raisi alikuwa akimpiga dongo Raisi Samia. Watu wameenda mbali...
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Rais Samia ni kama nabii

    "Nabii" ni neno la Kiswahili lenye maana ya mjumbe au msemaji kwa niaba ya Mungu Chalamila anamuweka samia kundi moja na watu kama Yohana Mbatizaji na wakina Musa. Hapa ndio wanaosema hakuna Mungu wanapokua na point, Kama kweli Mungu yupo, kwa damu aliomwaga anaruhusu vipi hizi dharau...
Back
Top Bottom