Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

Hivi yule meya wa jiji la dar anakazi gani haswa yaani sijawahi muona hata kaitisha press ila kwenye K.O ya mama namuonaga sana na kule miaka 30 ya bongo namuonaga sana
Wewe shetta haufai kuwa meyq wa jiji pamoja na mzungu wako manara wote matapeli 😂 😂
Aise,eti sheta msanii ndiyo meya
Lazima mambo yatakuwa kisaniisanii tu

Ova
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa ni aibu kwa miji kuendelea kuwa michafu wakati nchi inalenga kukua kiuchumi na kuvutia watalii.

Ili kukabiliana na changamoto hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wapya na mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kwa kusimamia usafi kikamilifu. Amekosoa utaratibu wa halmashauri na wilaya kuwapa mikataba ya usafi madiwani au watu wasio na vifaa na uwezo badala ya wakandarasi wenye sifa, huku akiagiza kuwa walioshindwa kutekeleza wajibu wao waondolewe na mikataba ipewe watu wenye uwezo wa kuweka miji safi.

Pia soma
~
Dar: Viongozi wana mpango gani na usafi wa mazingira? Maeneo mengi ni machafu, hakuna mkakati wa wazi unaotekelezwa
~ Huu uchafu mtaroni hapa Sinza Africasana, wahusika hawauoni au hakuna wa kuwajibika?
~ Dar: Mtaa wa kidosho - Mikocheni uchafuzi wa daraja linalopitisha maji taka ni chanzo cha malaria
~ Dar es Salaam: Mtaa wa Darajani - Mikocheni A, maji ya kinyesi yanasambaa tu mtaani
~ Watu wanatupa taka nyingi kwenye mabonde ya mito. Hiyo ni mbaya kwa afya na mazingira
~
Hizi mvua na mrundikano wa taka maeneo mengi ya Dar, mamlaka hazioni hatari ya kipindupindu?
~
Yeye ndio Rais ila anatuelezea matatizo
 
Inasikitisha ,ni jalala,ukienda nchi kama Rwanda yaani haina uchafu na hauwezi kukuta mtaro una maji machafu ,ni pakavu ,perving kwenye side walks.

Huku kwetu mauchafu na kunuka ,itungwe sheria ya kuwataka kaya wazingatie usafi ,kila nyumba wasafishe barabara zoa za mtaa ,tukifanya hivi tutawakaribia Rwanda ,ukiangalia mavlogger wa US yaani hadi raha ,majiji masafi sana.

Solution ni kuanzisha sheria kwamba kila kaya ,kila mtaa wahakikishe mazingira wanayowazunguka ni masafi ,kaya ya mtu ikikutwa na uchafu ni kifungo mwezi mmoja.
 
Hivi yule meya wa jiji la dar anakazi gani haswa yaani sijawahi muona hata kaitisha press ila kwenye K.O ya mama namuonaga sana na kule miaka 30 ya bongo namuonaga sana
Wewe shetta haufai kuwa meyq wa jiji pamoja na mzungu wako manara wote matapeli 😂 😂
anawaita watu wakatoe ushuhuda kwenye tume ya matukio ya Oct 29
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa ni aibu kwa miji kuendelea kuwa michafu wakati nchi inalenga kukua kiuchumi na kuvutia watalii.

Ili kukabiliana na changamoto hiyo, Rais Samia amewataka viongozi hao wapya na mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka kwa kusimamia usafi kikamilifu. Amekosoa utaratibu wa halmashauri na wilaya kuwapa mikataba ya usafi madiwani au watu wasio na vifaa na uwezo badala ya wakandarasi wenye sifa, huku akiagiza kuwa walioshindwa kutekeleza wajibu wao waondolewe na mikataba ipewe watu wenye uwezo wa kuweka miji safi.

Pia soma
~
Dar: Viongozi wana mpango gani na usafi wa mazingira? Maeneo mengi ni machafu, hakuna mkakati wa wazi unaotekelezwa
~ Huu uchafu mtaroni hapa Sinza Africasana, wahusika hawauoni au hakuna wa kuwajibika?
~ Dar: Mtaa wa kidosho - Mikocheni uchafuzi wa daraja linalopitisha maji taka ni chanzo cha malaria
~ Dar es Salaam: Mtaa wa Darajani - Mikocheni A, maji ya kinyesi yanasambaa tu mtaani
~ Watu wanatupa taka nyingi kwenye mabonde ya mito. Hiyo ni mbaya kwa afya na mazingira
~
Hizi mvua na mrundikano wa taka maeneo mengi ya Dar, mamlaka hazioni hatari ya kipindupindu?
~

Yah right. Hiyo nfiyo sababu ya kuhamishia makazi Zanzibar ama....!! Miaka yote hiyo ndiyo amegundua leo au uchafu umeongezeka?

Dar haijawahi kuwa safi hata siku moja labda enzi za mkoloni ambazo wengi hatukuwepo.
 
DAWASA wenyewe sometime majitaka wanapitisha kwenye maji safi 🤣 Mara kibao mtu uko unachota maji bombani mara ghafla yanatoka maji yana harufu kali vibaya mno !
 
Akitaka iwe safi ajiandae kutowatetea wamachinga,ujenzi holela,boda boda marufuku,vibanda marufuku.

Mana wanasiasa ndio kikwazo.
 
Sijui kwanini huyu mmama akiwa anaongea kitu huwa namuona ni kama wale wamama wauza mbogamboga kwenye mabeseni?nadhani hata hao wanaume wanaomsikiliza hapo wanaona kama mimi tatizo ndiye anayewapa kula.
Kwakua nchi aikuwai kuongozwa na mwanamke kwahiyo ili naro bado ni tatizo..(PATRIARCHY SYSTEM)
 
Waende tu hapo rwanda wakajufunze
Huku usafi huwa wa zimamoto kik sjui jogging ya usafi mbwmbw nyingi

Ova
Hii ya zima moto ni kweli, usafi sio tabia yetu, huwa tuna matukio maalumu ndio tunaibuka na usafi. Hebu jiulize tangu Rais Obama aje na barabara zikadekiwa, ilitokea lini tena?
 
Inasikitisha ,ni jalala,ukienda nchi kama Rwanda yaani haina uchafu na hauwezi kukuta mtaro una maji machafu ,ni pakavu ,perving kwenye side walks.

Huku kwetu mauchafu na kunuka ,itungwe sheria ya kuwataka kaya wazingatie usafi ,kila nyumba wasafishe barabara zoa za mtaa ,tukifanya hivi tutawakaribia Rwanda ,ukiangalia mavlogger wa US yaani hadi raha ,majiji masafi sana.

Solution ni kuanzisha sheria kwamba kila kaya ,kila mtaa wahakikishe mazingira wanayowazunguka ni masafi ,kaya ya mtu ikikutwa na uchafu ni kifungo mwezi mmoja.
Ishu sio sheria, kila mmoja wetu anajua umuhimu wa usafi? Nje na matukio maalumu ya kitaifa na ya kifamilia au kitaasisi, ndio utaona tupo bize na usafi. Tabia hii inatoka kwenye familia zetu, tunafanya usafi wa maana kwa matukio maalumu.
 
SUALA LA MIJI YA TANZANIA KUWA MICHAFU NI LA KWELI, WALA HALIHITAJI MJADALA. HATA HUKO MOSHI KULIKOKUWA KUNASIFIWA KWA SASA KUMEANZA KUWA TAKATAKA KAMA KARIAKOO.
NINAMUUNGA MKONO BWANA SAMIA KWA 100%
WATANZANIA WENGI NI WACHAFU
IPO HAJA YA BUNGE KUTUNGA SHERIA KALI YA KUHAKIKISHA KILA MWANANCHI MWENYE UMRI WA MIAKA 18 NA KUENDELEA ANAWAJIBISHWA KWA KUTOZINGATIA USAFI WA MAZINGIRA ANAYOFANYIA SHUGHULI ZAKE ZA KILA SIKU.
NA CHA KUSHANGAZA ZAIDI NI KWAMBA KILA HALIMASHAURI, KILA MIJI NA MANISPAA, KILA KATA, MTAA MPAKA KIJIJI KUNA MABIBI NA MABWANA AFYA NA WAFANYAKAZI KITENGO CHA MAZINGIRA NA KILA SIKU YA KAZI WANARIPOTI KWENYE VITUO VYAO VYA KAZI NA MWISHO WA MWEZI WANAPOKEA MISHAHARA NA POSHO AMBAZO HAWAKUZIFANYIA KAZI. KUNA KOSA GANI NAO TUKAWAWEKA KWENYE KUNDI LA WAHUJUMU UCHUMI?
 
Usafi unaanzia Kwa kiongozi wa juu, yeye mwenyewe mchafu kiroho na kimwili.

Rushwa imefikia kileleni, wapigaji hawaogopi kitu maana adhabu yao ni kuzomewa, mafisadi ndio rafiki zake, uuaji, utekaji na ubakaji mateka, uonevu ndio furaha yake...

Rais akiwa mwizi na mchafu namna hii majiji hayawezi kuwa safi, uchafu wa majiji ni reflection ya tabia yake ya kishetani.
 
Back
Top Bottom