Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

NA CHA KUSHANGAZA ZAIDI NI KWAMBA KILA HALIMASHAURI, KILA MIJI NA MANISPAA, KILA KATA, MTAA MPAKA KIJIJI KUNA MABIBI NA MABWANA AFYA NA WAFANYAKAZI KITENGO CHA MAZINGIRA NA KILA SIKU YA KAZI WANARIPOTI KWENYE VITUO VYAO VYA KAZI NA MWISHO WA MWEZI WANAPOKEA MISHAHARA NA POSHO AMBAZO HAWAKUZIFANYIA KAZI. KUNA KOSA GANI NAO TUKAWAWEKA KWENYE KUNDI LA WAHUJUMU UCHUMI?
Ndio hao walioambiwa na Mzungu wa Unga kwamba wasipobadilika, watabadilishwa.
 
Kama viongozi wenyewe ni hawa unategemea nini kama siyo uozo na uvundo jijini?
 

Attachments

  • VID-20260903-WA0000.mp4
    2.5 MB
Dar es Salaam iko Tanganyika. Ahangaike na ya Makunduchi ya huku tutayamaliza wenyewe.
 
Back
Top Bottom