Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

Nimemsikiliza JPM amekuwa mbogo sababu stand ya Mbezi haijakamilika ndani ya wakati,maana ilitakiwa ikamilike mwezi wa saba.

Wakandarasi wanasema sababu ni Corona virus,maana huenda kuna vifaa vilichelewa.

Lakini mkuu wetu wa nchi mbona Yapi Merkez amabao wanajenga SGR hawajakamilisha kwa wakati? Mbona hauwakalipii? Kuna nini nyuma ya pazia?
 
Magufuli ni 🌞💣💥🔥🔥🔥

"Tulikua tufadhiliwe kujenga njia mbili, wale wafadhili wakaturingia. Sasa tumejenga wenyewe njia nane😁😁
Hata rais wa Malawi kaja kunitembelea wakati huu sababu anajua nitashinda🤣🤣🤣🤣"

POVURUKSA🍻
 
Naona wageni wengi wanamuona rais wetu kama kilanja wa eneo la maziwa makuuu na Afrika Mashariki mpaka kusini mwa bara hili changa.

Walinza wanyarandwa ,warundi,wakenya ,waganda na wamamalawi na mpaka sasa hivi Wacongo, sio mbaya baba wa jirani kupendwa na watoto wa majirani wakimuona anafanyia familia yake mengi na kuwaacha wanae waovu wakimtukana na kumbeza bila aibu.

Gwiji wa muziki kutoka Congo Anayaeishi nchini kisheria ameamua kuvaa mavazi ya CCM na kutunga wimbo wa kumuombea kura rais magufuli mchana kweupe bila chenga ndio ameamua kusema ukweli kuwa hakuna zaidi yake.

Bella ambaye pia anaishi nchini Belgium na familia yake anajua mitego na roho mbaya ya watawala hao wa congo katika zama za kikoloni kitu ambacho wapinzani wanajivunia .

Kwa jpm kila goti litapigwa

USSR
 
Jeshi letu la polisi kwa kiasi kikubwa limekosa weledi.

Wajibu wa raia wenye akili na uelewa, siyo kuitikia tu maelekezo ya polisi aliyekosa weledi BALI kumgomea askari wa namna hiyo, na kumpa shule ili aelimike.
 
Ama kweli huyu jamaa bado hajavaa viatu vya mpakwa mafuta Makonda,kapwaya sana.

Rais Magufuli: Wewe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam badilika, usiwe Sheikh au Askofu. Tunataka watu wafanye kazi usiku na mchana

Nataka niwaeleze huu mradi nitaufuatilia vizuri mimi halafu mtaona kama hamtotapika hela zote
 
"Wewe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge badilika usiwe sheikh au askofu, tunataka watu wafanye kazi usiku na mchana" – Rais Magufuli katika Uzinduzi wa Ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya Mikoani, Mbezi Luis - Dar es Salaam.

wasafifm
Ukiona Mtu anapenda sana sana kwenda kwenda Congo DR au Nigeria au Kanda ya Ziwa Victoria au South Africa jua 'Nyota' inaenda Kuimarishwa.
 
Sera ya Maendeleo ya Vitu kama mastendi makubwa makubwa, madaraja ya baharini , reli Mpya SGR , Madaraja ya juu a.k.a flyover haiuziki katika uchaguzi huu mkuu
 
Maendeleo gani wakati maisha ya watumishi wa umma yamerudi nyuma katika kipindi chote cha miaka mitano.

Huyu dhalimu wenu mtamchagua wenyewe.
PAYE imeshuka tayari. Watumishi wengi wamefurahishwa na hili. Wewe siyo mtumishi wa umma inaelekea.
 
Back
Top Bottom