Sio kweli.

Wengi vijana wa sasahivi jamiiforums wameijulia Facebook na hata ukigoogle baadhi ya mambo ila sio ya punyeto unaletewa threads za JF.

Wale wa kitambo kidogo jamiiforums tuliijuaga kwenye Harakati za Chadema kipindi hicho Upinzani umepamba moto.

Mpaka wakasema JF ni Mali ya CHADEMA.
 
Kwa hiyo kwa kuwa wewe umejiunga jf kwa sababu hiyo ya kuacha nyeto basi ndo unaona na wenzio wote tupo kama wewe,,,, jinga kabisa
 
Huu utafiti usio rasmi hivyo nisidaiwe data zozote.

Utafiti huu unasema kwamba 40% ya vijana walioko JF waliingia kwa sababu ya kutafuta njia za kujinasua kutokana na kujichua sasa wakisearch wanakutana na maoni ya JF wakawa wanavutika nayo na kushawishika kusoma zaidi.

Wengine wakitafuta namna ya kujitoa kwenye majanga ya ajabu ajabu.

Kimsingi vijana wengi wameijua JF kwa sababu ya kutafuta njia za kujinasua katika raibu zao mbalimbali walizokuwa wakizifanya.

Hii ni kwa sababu watu wengi ambao wamekuwa wakiomba ushauri juu ya kuwacha mambo fulani utakuta hizo threat walizotoa ndio za mwanzo tokea wawe na Na ID hapa jf,hii ni ishara kwamba walikuja hapa na msukumo huo.
Me niliijua jamiiforums mwaka 2012 baada ya network engineer wa TTCL alipokuwa anakuja oficini kwangu kurekebisha network alikuwa akifungua hii JF
 
Kwa hyo mkuu asilimia 40 ya vijanaa wamesaidia na jf kutoka kwenye wimbi la kuachaa nyeto wakiongozwa na ww
 
Na kuna nani alishawahi kutoa mbinu za kuacha ambazo ukiziangalia kweli zinashawishi? zaidi ya vibwagizo vyenye chembe ya utani mara sijui hilo ni pepo unabidi uoge na chumvi mara ufanye sana maombi umualike Mungu uishinde hiyo roho

Ushauri kama huo utamvutiaje mtu timamu kujiunga jf, si ataona ni platform flani yenye watu wenye kuendekeza utani kwenye mambo ya serious?
 
Nilikua Guest user tuu mpaka pale nilipoitaji unlock code za vodafone yangu ikabidi nijiunge nizame PM kwa mdau mmoja akanisaidia.

Nilia unlock simu nyingi sana kwa kupitia yeye kipindi hicho.
 
Na kuna nani alishawahi kutoa mbinu za kuacha ambazo ukiziangalia kweli zinashawishi? zaidi ya vibwagizo vyenye chembe ya utani mara sijui hilo ni pepo unabidi uoge na chumvi mara ufanye sana maombi umualike Mungu uishinde hiyo roho

Ushauri kama huo utamvutiaje mtu timamu kujiunga jf, si ataona ni platform flani yenye watu wenye kuendekeza utani kwenye mambo ya serious?
Zipo nyuzi wadau wametoa maoni yao
 
We bata tabia yoyote ya uraibu inaachwa kwa nadhiri ndani yako kwanza!,change your fucking psychology first!. Asikudanganye mtu ati epuka mazingira ya kukaa peke yako!,vipi yakipatikana je..? Vipi usiku je,unalala peke yako huo si upekee..? Hamu ikikushika na ukawa haujadhamiria kuacha mbona hayo mazingira utayatafuta labda sio nyege!😂

Angalia vinavyokufanya ufanye huo mchezo na uviache kuanzia kichwani pako. Kama ni x video stop it!,ukiwa umetulia wazo likaja hama taratibu hamisha mawazo kwa kile kitu unachokitaka zaidi ni Kama vile unajilaumu yani nipige punyeto wakati kuna hili linanikabili!!😅

Jitahidi kuona hakuna jipya ukipiga hiyo punyeto! You do something that you know it's end so just start slow to ignore it.. hii inakuwa unaupa ubongo mazoezi kuona hicho kitendo Kama kitu cha kawaida Sana yani sana and nothing you can get when you'll do it!.
Ukiweza kujitahidi mfano ndani ya wiki moja au mbili ama tatu hujapiga Sasa uchukulie huo muda Kama kitu cha thamani! I mean yani umeweza kuacha kupiga kwa muda huo vipi tena upige leo kwa kuharibu ule muda na kuuona Kama haunathamani kumbuka muda hautarudi nyuma just usidharau jitihada ulizozianzisha!.

Jisome hua unapenda kufanya huo mchezo muda gani zaidi..? Ukilijua hilo basi jitahidi katika huo muda ama kuongeza kitu cha kufanya we ni mwanadamu mwenye akili just tafuta cha kuweza kufanya hapo jisome nawewe ulivyo utawezaje kwa urahisi zaidi.

Kama Kuna vifaa unatumia hakikisha havipo tena! Kwa wale wanaotumia nyenzo hakikisha hizo ngoma hazikai karibu nawewe!.. haya ni yaziada tu ila dhamiri kuu ni ndani yako unaweza kuacha kwa kudhamiria hata hivyo vifaa vikiwepo ila itakuwa vizuri zaidi Kama utavitoa..

Fanya kuacha punyeto ni sehemu ya kulinda afya ya kiungo chako na akili yako! Kama unampenzi anza kufikiri Kama ni dhana unayomuhifadhia kwaajili yake ili umridhishe vya kutosha na sio kuitumia kwa vitu vyengine bali kwaajili yake na yako.

Yangu ni hayo machache lakini lakukazia ni kuwa utaweza kuacha huo mchezo ukiwa umeamua kuacha na sio kuigiza.. ukiamua jua unaweza kuangali x na usifanye,unaweza kuwaza na usifanye hata ukiona kitu unachokitumia na usifanye!.. this fucking behavior you have to kill it inside of you first ignore it then dealing with your psychology.
Well said mkuu.
 
Acheni wenge na kutishana eti oooh punyeto inamaliza nguvu za kiume mara sijui nini kisaikolojia huu ni mwaka wa 21 narushia tako mkononi hakuna tatizo lolote lile na ninikutana na demu mwendo ni uleule kwenye bampsi napita na speed mia

 
Leo nimetimiza miaka 6 sasa kama mwanachama hai wa chaputa.

Niutangazie umma kwamba naomba kwa ridhaa yenu niache sasa hii kazi

Kwenu wajumbe
Ndugu Mwanachama, kama mjumbe wa Chaputa nimesoma lalamiko lako lakini napenda kutumia nafasi hii kukuomba ufuate taratibu rasmi za kuomba kujitoa katika chama.

Aidha unapaswa uandike barua rasmi na kuipitisha kwa katibu mtendaji ngazi ya Kata kisha kwa Afisa Chaputa wilaya

Ahsante.

CHAPUTA.Tanzania.
 
Leo nawapa chimbo ila Mimi simo mfe wenyewe na madhambi yenu
Search katika Google ok.xxx
 
GOOD MORNING to every member of JF who will read this...

Kuna PUNYETO ama kujichua au vijana wanaita KUJITAFUNA MWENYEWE.. Halafu pia kuna TENDO LA NDOA LENYEWE KATIKA UHALISIA WAKE...

Lengo la mtu kufanya hivi vitu nafikiri lengo kuu huwa ni kumaliza tamaa za ngono tu. Lakini kinachonichanganya ni kwamba NIKIWA NAPIGA PUNYETO hamu yake haiishi kabisa, nitapiga leo, na kesho na keshokutwa na kila siku napiga na hamu haiishi kabisa.

Lakini nikiwa nafanya TENDO LA NDOA LENYEWE KATIKA UHALISIA WAKE naweza fanya siku mbili mfululizo au tatu baada ya hapo hamu zinaisha kabisa najiskia mwepesi naweza nalala na mwanamke mpaka asubuhi hata nisimfanye chochote, kwa kifupi naweza kaa hata siku mbili au tatu ndo nipate tena hamu ya kumchakata dem, ila nikisha gusa tu nyeto ndo basi hamu haiishi nakuwa napiga kila siku.

Sasa swali langu la msingi, kwanini ukiwa unapiga nyeto hamu inakuwa haiishi kirahisi kiasi kwamba waweza piga kila siku ila ukifanya tendo la ngono lenyewe kabisa kwa siku labda 2 au 3 mfululizo basi unaridhika kabisa waweza kaa siku 4 au 5 ndo unapata hamu ya kufanya tena ? Ila nyeto unatamani tu upige kila siku an why?

Uhusiano wa nyeto na tendo halisi ukoje an !

Nawasilisha.
 
Ni sawa sawa kula chakula na kuonja.. ndio tofauti yake ukiwa unapiga punyeto ni unaonja chakula ndio maana hamu haiishagi ila ukifanya tendo la ndoa mujarabu umekula chakula kisawa sawa ndio maana unaweza kukaa mda bila ya kula tena wala kuonja.. punyeto ni uzembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom