Ndugu yangu UncleBen "Mzee Che Guevara" upo wapi?Uu mzima wewe?
Sijakuona siku nyingi sana jukwaani.Tuambiane ulipo boss wangu
 
Saartjie Baartman, alikufa akiwa na miaka 25 tu.

Alikuwa ana makalio makubwa sana na pia mashavu marefu ya uke (Labia majora). Wazungu walimshangaa sana na akauzwa huko uingereza kufanywa kama maonesho, akabatizwa akawa mkristo hapo Uingereza na baadae akauzwa ufaransa kama mtumwa.
Inasemekana alikufa kwa Syphillis, ugonjwa ambao kwa kipindi hicho ulikuwa unatikisa sana na inasemekana aliupata ugonjwa huo baada ya kuwa anajihusisha na biashara ya ngono ili kupata pesa ya kujikiku kwani watu wa maonesho waliacha kumsapoti tena.

Alipokuwa Ufaransa, kutokana na kufanywa maonesho ya aibu, alianza kunywa pombe kali na akawa Heavy drinker, hata katika maonesho bado alikuwa amelewa (Tilalila) hii ilimsaidia kuondoa aibu.

Alikuwa anaweza kuongea lugha nne. Ki-khoisan, kifaransa, kiingereza na ki dachi.
Ww unatudanganya ww?
 
hivi kwa hiyo rachu,alikua anachambaje,ila hawa wazungu hawa wametutesa sana
 
Sasa walikuwa wanashangaa Matako makubwa!! Kumbe waxungu washamba kweli kweli
 
View attachment 331390

Kwa kuongezea tu ni kwamba wakoloni walimfanyia Kama udharirishaji tu Kwa sababu ilikuwa ukitaka kushika tako lake unalipa au kupigana nae picha hata ukitaka kufanya nae mapenzi.ila alikuja kufa akiwa Na miaka 26 tu Kwa magonjwa ya zinaa.
mbona hiyo mpk leo ipo hapo Amsterdam,ni kwamba kuna mademu waafrika walatini mpk mablonde wanauzwa na mamaster wao,anawekwa shoo ya uchi,ukitaka kugusa unaongeza dau,ukitaka kunawa dau zaidi ukitaka gemu bao 50 euro.
kuna waafrica hapo kitaa wana wezere halafu limekaa kimtindo hadi huyu sara angeomba poo akiwekwa pale.
 
Asante Mkuu japo huo udhalilishaji ninao usema wa Instagram kiasi fulani wazungu wamekuja tu na advanced tool ya unyanyasaji badala ya kulazimishwa mtu anaweka tu mwenyewe ,Waafrika tunadharaulika sana ,wakati mwingine huwa namuuliza Mungu hivi siku ya hukumu kama kutakua na session ya maswali na majibu ,Mtu kama Sarah ama Otta wakimuuliza Mungu ni kwanini uliamua nipitie haya sijui atakuja na majibu gani ila naamini ni muweza wa yote na sipaswi kuwa na wasiwasi nae, Waafrika kwa sehemu kubwa nadhani tumeumbiwa mateso ,
Ili swali hata mimi uwa najiuliza,hivi sisi kuna kitu gani mola wetu katuandalia?kwani ni kama daraja la mwisho la binaadamu na jins tunavyobagulia,popote tuendako?nami nimekwisha kutana na ubaguzi ulionifan niwe mkorofi kwenye nchi za hawa jamaa,na ilifika sehemu wakawa wananiogopa,na waliziogopa hata dred zangu kuzishika shika,nawachukia baadhi yao si wote,kuna wenye roho za utu
 
Ili swali hata mimi uwa najiuliza,hivi sisi kuna kitu gani mola wetu katuandalia?kwani ni kama daraja la mwisho la binaadamu na jins tunavyobagulia,popote tuendako?nami nimekwisha kutana na ubaguzi ulionifan niwe mkorofi kwenye nchi za hawa jamaa,na ilifika sehemu wakawa wananiogopa,na waliziogopa hata dred zangu kuzishika shika,nawachukia baadhi yao si wote,kuna wenye roho za utu
Walituvisha uwoga na tukasahau kufikiri . ..lakini sasa tumeamka . ..jambo kuu tusiwe na hasira . ..Mwenye Enzi Mungu atuongoze milele
 
Back
Top Bottom