IGP afanye maamuzi magumu vikosi viende Ngorongoro walio husika na mauaji ya askari wakamatwe na kufikishwa mahakamani sababu kama wamedhibiti magaidi wa mtwari sembuse hao wamasai.
mtu ukiwa na t@kO kubwa akili huwa inahamia huko.!
 
Hatutaki Nchi yetu nzuri ifike huko !! Chonde chonde hata kama hali zetu ni duni lakini tunataka kuendelea kuishi huku tukila mihogo yetu bila wasiwasi !!
 
Ngorongoro na Loliondo!!!! mbona vinachanganya
Wananchi wapi wanatakiwa kwenda Handeni?
Ni wanachi wa tarafa ya Ngorongoro, Loliondo au wote?
 
Hao majeruhi hawana akili! Yaani wajitokeze ili wakamatwe! Mkuu wa Mkoa hayuko serious hata kidogo.

Na kama hakuna mapigano, huyo askari ilikuwaje akapigwa huo mshale? Naona nguvu kubwa inatumika kuficha huu mgogoro!
na hapo ndo waandishi wa bongo wanavyoufyata ,walitakiwa wawe eneo la tukio kutoa updates za moja kwa moja. Ingekuwa umbea ungewaona wanavyomchambua diamond
 
Spika kasema pelekeni ushahidi Bungeni ili serikali Ilitolee ufafanuzi jambo hili .siyo hizi habari za mitandao.

Yawezekana askari alikuwa na matatizo yake mwilini.
 
Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na kusisitiza kwamba kama serikali wanatambua uzalendo wa askari huyo.

Ametumia nafasi hiyo kuwataka wananchi wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serikali katika zoezi la uwekaji mipaka.

Wananchi wanatakiwa na Serikali kuhama katika eneo la Ngorongoro na kwenda kuishi Handeni, Tanga ambapo Serikali itawasaidia katika kuhama. Nia ikiwa ni kuhakikisha uhifadhi endelevu katika Hifadhi ya Ngorongoro.

Baadhi ya Wananchi wa Ngorongoro hawataki kuhama katika ardhi yao ya asili kwani Wanaishi hapo kisheria na Wanatambulika.
View attachment 2257198
Mura tatah! Maneno imekuwa mbaya.
Sasa huko mnako wahamishia gharama ya kuwabebea mifugo yao iko Kwa nani?
Je ujenzi wa makazi yao ukoje!
Au ndio wanaenda kutupwa hapo na hakuna pa kulishia mifugo yao. Matokeo yake ni vita ingine na waliopo jirani!
Serikali ifanye kwaanza taratibu za makazi halali kabla ya kuwahamisha. Kinyume cha hapo ni kuwaua wananchi wako.
Hakuna kitu ngumu kama kuhama ulikozoea miaka kwenda kuanza makazi.
Serikali iache ubabe.
 
MONGELLA: ASKARI AMEUAWA KWA MSHALE LOLIONDO

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amethibitisha kutokea mapigano Wilayani Ngorongoro katika eneo la Loliondo ambapo askari polisi mmoja aliuawa jana Juni 10, 2022

“Alasiri ya jana (Juni 10) askari mmoja aliuawa kwa kupigwa mshale na kundi la watu lililotokea likitaka kuathiri zoezi la kuweka alama,” - Mongella

Aidha, RC Mongela amesema hakuna kituo chochote cha Afya ama hospitali yenye majeruhi na ameomba kama wapo wajitokeze.
Picha iko wapi Mkuu tuwe na uhakiki! Waziri Mkuu kashasema hakuna tatizo. Haumwamini au ndio unamgonga Nchale Naye!!
 
Alisema mnataka Rais aonekane wapi, Magomeni ?

Ambayo kwanza ni dharau kwa watu wa Magomeni!

Kwamba Rais hategemewi aende Magomeni...

Hajui Rais wa kwanza wa nchi hii alitokea Magomeni siku anaapishwa.
Lakini wote na malikia hangaya nae aliongopa enzi zile
 
Serikali na Bunge wanatoa kauli zinazokinzana na ukweli halisia. Hii inayoonekana wazi na kusikika kutoka vinywa vya viongozi wakuu 🤔 ....Ni kiashiria kuwa kuna kundi lenye mamlaka zaidi linaloongoza nchi!!. :oops:
 
Spika kasema pelekeni ushahidi Bungeni ili serikali Ilitolee ufafanuzi jambo hili .siyo hizi habari za mitandao.

Yawezekana askari alikuwa na matatizo yake mwilini.
Pamoja na kusema hvyo . cop kaenda kweli kapigwa mshale kichwani. Ila mshale pia waweza kuwa ni tatizo binafsi
 
Ngorongoro na Loliondo!!!! mbona vinachanganya
Wananchi wapi wanatakiwa kwenda Handeni?
Ni wanachi wa tarafa ya Ngorongoro, Loliondo au wote?
Tarafa ya Ngorongoro ndo inabidi wahame kabisa, Halaf Tarafa ya Loliondo wamemega eneo lao 1500kmsq kumpa mwarabu wananchi wasiingie, na kumbuka kuwa Rais wa Tanzania ana asili ya Kiarabu ni shida tupu
 
Aliyemwambia kwenda kudanganya msikitini wakati mwendazake alikuwa ameshakufa kitambo leo anaenda kudanganya Bungeni wakati uhalisia unaendelea.
Alikuwa anafichwa baadhi ya mambo na hata sasa bado anazungukwa au wanamtega. Kuna kinachoendelea nyuma ya pazia huko Serekalini.
 
Back
Top Bottom