guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,755
Dunia simama nishuke!
Ahahaha
Dah! Siamini macho yangu!
Ahahaha
Dah! Siamini macho yangu!
Tunaomba na mkataba wa madini pia uwekwe wazi. Mama juzi amesema Mirerani tunapigwa kama kawaid. Ile professorial report iwe wazi.Kumaliza utata mkataba huo uwekwe wazi uanikwe hadharani .Wazee akina ndugai musije achie vizazi vijavyo mizigo isiyowahusu si vizuri kurithisha kizaxi kingine zigo Wanamchi tunaomba uwekwe wazi sababu ni wa miaka mingi pengine wote tuluopo hatitakuwepo tutalaaniwa na vizazi vijavyo...
Unakosa pakushika wajingaaa. Mlijua kutetea kila upuuzi haya magufulifikesheni yenu ndo hii? Umwamba wa afrika ndo huu? Unaacha bandari unakimbilia kujenga busisi na chato kilasiku!Kumaliza utata mkataba huo uwekwe wazi uanikwe hadharani .Wazee akina ndugai musije achie vizazi vijavyo mizigo isiyowahusu si vizuri kurithisha kizaxi kingine zigo Wanamchi tunaomba uwekwe wazi sababu ni wa miaka mingi pengine wote tuluopo hatitakuwepo tutalaaniwa na vizazi vijavyo.
Hapa Ndingai anaishangaa serikali kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Anasema alikwenda China katika mji wa Chenzen ambako ndiko yaliko makao makuu ya wajengaji wa bandari. Walimuonyesha presention nzima a hakuona tatizo.
Pia wale wajamaa wanaoujua urafiki wa China na Tanzania wengi wamestaafu na wawili waliobaki waliwaambia wafanye haraka kufanya maamuzi ya ujenzi kwani wao of akiondoka, kizazi kipya kiko ki faida zaidi.
Bunge dhaifuAisee
Aiseeh!!
Kumbe alikuwa anajuwa hayo toka mwakajuzi ila aliogopa kumkosoa mwendazake!!!🤔🥺
Mizigo ipi wewe!Kwani hao washauri walishikiwa Bunduki hadi kumshauri mwendazake vibaya?
Unaweza kuta washauri wale wale waliomshauri JPM kutotekeleza mradi kwamba hauna manufaa makubwa kwa Nchi ndiyo hao hao wanashauri mradi Mhe. Samia Suluhu kuutekeleza kwa kuwa wamegundua Una manufaa kwa Nchi mara hii.
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena
Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena
Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99
jaman
Mzee alimpambania kwelikweli ingawa ni bogus from the getgoleo ndio nimeona wanasiasa hawawezi kuiona pepo kwa unafiki wao,huyu huyu ndugai aliwekwa pale na mzee leo anaongea haya kweli
Ila nakumbuka Nduga alipingana na Mwendazake kwenye hili angali bado akiwepo, sema tu Mkubwa ni Mkubwa Nduga akaufyata.Hata Ndugai kamsaliti mwendazake....kazi kweli.
Aliangalia tu presentation ya wachina sio mkataba muulize kama mkataba aliuona aliishia tu kuona vipicha picha kwenye presentation!!! Mkataba ndipo ngoma ilipoAisee
Aiseeh!!
Kumbe alikuwa anajuwa hayo toka mwakajuzi ila aliogopa kumkosoa mwendazake!!!🤔🥺
Huku mwishoni alikuwa akimsema sana Mungu , huku akijua ameua watu, amefunga watu kifungoni kwa hila, na wengine kwa roho mbaya tu kakazi.Hata ile somo la historia John Pombe Joseph Magufuli ataongelewa ukura mmoja, kwenye orodha ya marais.
Magufuli alikuwa dikteta sana.
Mwaka 2000 alimteka mgombea wa cuf ili asimpinge jimboni.
Mwaka 2005 alimteka Dr Sende, akazizuia boti zake kufanya usafirisha na akamteka na kumzuia asigombee ubunge.
2010 alipingwa na Dr lukanima, mkufunzi wa uchumi mzumbe, alifuluzwa kazi na akakimbilia uhamishoni Chile magu alipokuwa rais, kuna kijana mwingine alimpinga mwaka huo, baadae huyo kijana anaitwa Deusdedit, akapigwa uhujumu uchumi hadi leo yupo lupango. Alikuwa mtumishi NEMC.
Idara ya usalama, msijaribu kuruhusu mtu type yake kuwa raisi au makamu.
Tumshukuru sana Mungu.