Kumaliza utata mkataba huo uwekwe wazi uanikwe hadharani .Wazee akina ndugai musije achie vizazi vijavyo mizigo isiyowahusu si vizuri kurithisha kizaxi kingine zigo Wanamchi tunaomba uwekwe wazi sababu ni wa miaka mingi pengine wote tuluopo hatitakuwepo tutalaaniwa na vizazi vijavyo...
Tunaomba na mkataba wa madini pia uwekwe wazi. Mama juzi amesema Mirerani tunapigwa kama kawaid. Ile professorial report iwe wazi.
 
Kumaliza utata mkataba huo uwekwe wazi uanikwe hadharani .Wazee akina ndugai musije achie vizazi vijavyo mizigo isiyowahusu si vizuri kurithisha kizaxi kingine zigo Wanamchi tunaomba uwekwe wazi sababu ni wa miaka mingi pengine wote tuluopo hatitakuwepo tutalaaniwa na vizazi vijavyo.
Unakosa pakushika wajingaaa. Mlijua kutetea kila upuuzi haya magufulifikesheni yenu ndo hii? Umwamba wa afrika ndo huu? Unaacha bandari unakimbilia kujenga busisi na chato kilasiku!

Mjifunze kuitetea na kuwa wazalendo kwa Tanzania badala ya kuwa mzalendo wa mtu au chama
 
Aisee

Hapa Ndingai anaishangaa serikali kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Anasema alikwenda China katika mji wa Chenzen ambako ndiko yaliko makao makuu ya wajengaji wa bandari. Walimuonyesha presention nzima a hakuona tatizo.

Pia wale wajamaa wanaoujua urafiki wa China na Tanzania wengi wamestaafu na wawili waliobaki waliwaambia wafanye haraka kufanya maamuzi ya ujenzi kwani wao of akiondoka, kizazi kipya kiko ki faida zaidi.

Aiseeh!!
Kumbe alikuwa anajuwa hayo toka mwakajuzi ila aliogopa kumkosoa mwendazake!!!🤔🥺
 
Heheheh..vituko vya mwaka

Naona kila mwanasiasa ameanza kumponda mwendazake..kazi ipo!

Hii inatufundisha nafasi tulizo nazo tusimwamini yeyote wala kisifiwa hovyo.....hii imetoa funzo maofisini + kwenye mitaa tunayoishi

Utanyenyekewa + kusifiwa ila ukifilisika tuu au ukifa cha moto utakiona
 
Kwani hao washauri walishikiwa Bunduki hadi kumshauri mwendazake vibaya?

Unaweza kuta washauri wale wale waliomshauri JPM kutotekeleza mradi kwamba hauna manufaa makubwa kwa Nchi ndiyo hao hao wanashauri mradi Mhe. Samia Suluhu kuutekeleza kwa kuwa wamegundua Una manufaa kwa Nchi mara hii.
Mizigo ipi wewe!
 
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena

Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99


Jamani! Daah
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na tukichelewa hatutauta tena

Magufuli alisema mradi huo ulikuwa ni hasara kwani ulikuwa na masharti magumu ikiwemo ya kuzuia bandari yoyote kuendelezwa, wala TRA kukusanya kodi na kupewa lease kwa miaka 99

jaman
 
Nimecheka spika alichoongea Ndugai kwenye Clip anasema ukiangalia presentation waliyotufanyia wachina kule kwao ule mradi ni mzuri sana!

Nimweleweshe mradi mzuri huuangalii kwenye presentation nenda kwenye mkataba huko ndiko utajua ni mzuri au la.

Tuonyesheni mkataba.

Pili anasena ni kosa kuanza kujenga reli kabla ya bandari!!! kwa hiyo unaanza kujenga stendi ya mabasi kabla ya barabara? Mfano hakuna barabara hata moja ya kutoka Dar kwenda mkoa wowote kwa hiyo wewe cha kwanza utaanza kujenga stendi ya ubungo wakati huna hata barabara moja?

Bandari sisi tunayo tayari hilo la kusema tumetanguliza mkokoteni mbele ya punda anayetakiwa yeye kuwa mbele na mkokoteni nyuma sio kweli .Sisi bandari tunayo tayari huo mfano hautuhusu walitakiwa wawajibu hivyo hao wachinadio tu ku swallow everything!

Naanza kunusa harufu ya rushwa Ndugai na kundi lake China walipoenda kuna kitu waliahidiwa au walikula rushwa.

Huwezi kuukubali mradi kwa ka kapresentation tu kadogo ka dakika chache ka power point bila kuona mkataba.
 
Hata ile somo la historia John Pombe Joseph Magufuli ataongelewa ukura mmoja, kwenye orodha ya marais.


Magufuli alikuwa dikteta sana.


Mwaka 2000 alimteka mgombea wa cuf ili asimpinge jimboni.


Mwaka 2005 alimteka Dr Sende, akazizuia boti zake kufanya usafirisha na akamteka na kumzuia asigombee ubunge.


2010 alipingwa na Dr lukanima, mkufunzi wa uchumi mzumbe, alifuluzwa kazi na akakimbilia uhamishoni Chile magu alipokuwa rais, kuna kijana mwingine alimpinga mwaka huo, baadae huyo kijana anaitwa Deusdedit, akapigwa uhujumu uchumi hadi leo yupo lupango. Alikuwa mtumishi NEMC.



Idara ya usalama, msijaribu kuruhusu mtu type yake kuwa raisi au makamu.


Tumshukuru sana Mungu.
Huku mwishoni alikuwa akimsema sana Mungu , huku akijua ameua watu, amefunga watu kifungoni kwa hila, na wengine kwa roho mbaya tu kakazi.

kuwa kifo kinamtafuta mtu huyu.
 
Aiseeeeeeeeee !!!!!!!!!!!!!!

Kwahio wale waliomshauri then, sasa hivi hawapo ? Au ndio walewale wanaoshauri hivi sasa vingine

Duh kweli kupata watu wa kweli hatuna budi kuwapiga wote waliokuwepo kipindi kile tuanze moja.

Na bado tunafanya makosa yale yale kwanini mtu ndio aamue miradi na sio wadau pamoja na wataalamu kwa kuhusisha upembuzi yakinifu through wananchi kwa kupitia bunge lao?
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom