TPA: Mchakato wa kumpata Mkandarasi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unaendelea. Mradi kukamilika 2028

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,046
49,730
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeamua kutenganisha utekelezaji wa mradi huo na mradi wa eneo maalumu la kiuchumi Bagamoyo.

Awali, ilielezwa ujenzi wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo utahusisha pia ujenzi wa mradi wa eneo maalumu la kiuchumi.

Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Januari 9, 2024 na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Plasduce Mbossa alipozungumza na waandishi wa habari.

"Tunaanzia na gati mbili ndefu na hizo zitajengwa na sisi TPA, baadaye zinazofuata na tupo tayari kupokea mwekezaji kutoka sekta binafsi atakayejenga kwa kushirikiana na serikali," amesema.

Amesema awali mpango ulikuwa ujenzi wa mradi huo uhusishe na ujenzi wa eneo maalumu la uchumi lakini wameamua kutekeleza miradi hiyo kwa nyakati tofauti.

"Tumeona haja ya kuharakisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutokana na hali iliyopo, kwamba baadhi ya meli haziwezi kuhudumiwa na Bandari ya Dar es Salaam kutokana na magati kuwa mdogo," amesema.

Hata hivyo, Mbossa amesema wanatarajia mradi huo kukamilika mwaka 2028 na kwa sasa mchakato wa kumpata mzabuni unaendelea.

Mwananchi

===

Mkurugenzi Mkuu wa TPA bwana P.Mbosso amesema Mamlaka ya Bandari inaendelea na zoezi la kumtafuta mkandarasi ambae atajenga Bandari Mpya ya bagamoyo ambapo ujenzi utaanza Kwa Gati 2.

Bwana Mbosso amesema Ili kuharakisha ujenzi wake wameamua kutenganisha Eneo la Uchumi na Bandari Kwa sababu Kwa Sasa Baadhi ya meli kubwa haziwezi kutia nanga Bandari ya Dar hivyo imelazimu Serikali kutangaza tenda ya kuanza Ujenzi ambao unatarajia kukamilika 2028.

Bwana Mbosso amesema wanakaribisha wawekezaji walio tayari kujenga kwenye Gati zingine.

My Take
Kwa namna Bandari ya Dar imeanza kuzidiwa na Ongezeko kubwa la shehena ya mizigo, Serikali iharakishe ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ikiwezekana ichukue Mkopo au ijenge Kwa ubia.

View: https://www.instagram.com/p/C14YPdPNnPv/?igsh=azFmYzdxMXhybm55
 
Kunbukeni magufuri ailiingiza zaidi ya trillion kupanua kina ..ndo hays mafanikio mnayaona
We kajinga kweli wewe unadhani baada Magufuli kuingiza Upanuzi ulisimama?

Upanuzi uliendelea na vifaa vipya kununuliwa ikiwemo kujengwa Kwa maeneo mapya ya kuhifadhia makasha.

View: https://www.instagram.com/reel/C14be2_IuO_/?igsh=MTl1bWw3eWs5aDZwdw==

Uimarishaji wa Bandari ni Suala endelevu na Mwaka huu DP World anaingia rasmi tarajia takwimu za mwakani 2025 kuipita Mombasa.
 
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeamua kutenganisha utekelezaji wa mradi huo na mradi wa eneo maalumu la kiuchumi Bagamoyo.

Awali, ilielezwa ujenzi wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo utahusisha pia ujenzi wa mradi wa eneo maalumu la kiuchumi.

Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Januari 9, 2024 na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Plasduce Mbossa alipozungumza na waandishi wa habari.

"Tunaanzia na gati mbili ndefu na hizo zitajengwa na sisi TPA, baadaye zinazofuata na tupo tayari kupokea mwekezaji kutoka sekta binafsi atakayejenga kwa kushirikiana na serikali," amesema.

Amesema awali mpango ulikuwa ujenzi wa mradi huo uhusishe na ujenzi wa eneo maalumu la uchumi lakini wameamua kutekeleza miradi hiyo kwa nyakati tofauti.

"Tumeona haja ya kuharakisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutokana na hali iliyopo, kwamba baadhi ya meli haziwezi kuhudumiwa na Bandari ya Dar es Salaam kutokana na magati kuwa mdogo," amesema.

Hata hivyo, Mbossa amesema wanatarajia mradi huo kukamilika mwaka 2028 na kwa sasa mchakato wa kumpata mzabuni unaendelea.

Mwananchi

===

Mkurugenzi Mkuu wa TPA bwana P.Mbosso amesema Mamlaka ya Bandari inaendelea na zoezi la kumtafuta mkandarasi ambae atajenga Bandari Mpya ya bagamoyo ambapo ujenzi utaanza Kwa Gati 2.

Bwana Mbosso amesema Ili kuharakisha ujenzi wake wameamua kutenganisha Eneo la Uchumi na Bandari Kwa sababu Kwa Sasa Baadhi ya meli kubwa haziwezi kutia nanga Bandari ya Dar hivyo imelazimu Serikali kutangaza tenda ya kuanza Ujenzi ambao unatarajia kukamilika 2028.

Bwana Mbosso amesema wanakaribisha wawekezaji walio tayari kujenga kwenye Gati zingine.

My Take
Kwa namna Bandari ya Dar imeanza kuzidiwa na Ongezeko kubwa la shehena ya mizigo, Serikali iharakishe ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ikiwezekana ichukue Mkopo au ijenge Kwa ubia.

View: https://www.instagram.com/p/C14YPdPNnPv/?igsh=azFmYzdxMXhybm55

Ikiisha hiyo tunampa nani? Maana sisi tuliambiwa hatuwezi kuendesha.
 
View: https://youtu.be/8eSY5_2Wc2w?si=ys8PvYex2-hKNBQ7
 
View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1744966647817830677?t=uN_y9lwvoROQj00HHa893A&s=19
 
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeamua kutenganisha utekelezaji wa mradi huo na mradi wa eneo maalumu la kiuchumi Bagamoyo.

Awali, ilielezwa ujenzi wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo utahusisha pia ujenzi wa mradi wa eneo maalumu la kiuchumi.
Huu mradi siniulilamilika kila kitu mpaka mwekezaji Mchina, kwa concession loan from Exim Bank ya China, waheshimiwa wabunge wetu wakiongozwa na Spika JYN wakabebwa kupelekwa China , everything was ok ila...

P
 
DpWorld anafanya kazi gani Sasa? Au anasubiri IJENGWE ndipo aje kuendesha?
 
Back
Top Bottom