Screenshot_20210715-212915.png
 
Haiwezi kuwa sheria bila Rais kusaini sasa wakt anasaini hakuona au hakusoma hii ni mara ya 4 anapingana na kile alichokisaini kuanzia kuteua then kutengua ndani ya masaa 24, swala la mabando, then miamala ya simu sijui kitafata nini tunaweza jikuta siku moja tupo vitani kwa watu kufanya vitu then baadae kuvibadili sasa sijui mkiingia vitani mtakuja kubadili nini tu?
 
Rais alivunje Bunge ama bunge lisiwe na Imani na Rais?

Kwelie haya mambo ya Uongozi yana wenyewe.
 
Watu wengi hasa watanzania hawajui tofauti ya Economics and Finance. Uchumi sio finance, profesion ya Finance hajulikani vzr hivyo watu hupelekea kuwapa wizara ya fedha watu wa uchumi ambao hawana utaalamu kabisa kwenye mambo ya finance....
Natofautiana na wewe. Wanaohitajika ni wachumi wabobezi maana wana uwezo wa kuangalia kile kinachoitwa picha kubwa. Finance ni sehemu moja tuu ya uchumi.

Marekani wana "Council of Economic Advisers" ambayo kazi yake ni kumshauri Rais kuhusu masuala ya uchumi. Ndio maana ma gavana wa benki ni wachumi na sio wahasibu.

Aidha, hamna Nobel Prize ya Finance ila iko ya Economics. Dr. Ndulu alikuwa mchumi. Ila sio kila mchumi ana uwezo wa kusoma picha kubwa na kutoa ushauri unaotakiwa. Tusihukumu fani nzima kwa sababu ya mapungufu ya wachache.

Amandla...
 
Najiulizaga wakati wanasaini huwa hawasomi kuna siku watauza nchi then baadae wakijashtuka tayari wameshauza
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Ukiona mtu anajiandika majina yake kwenye mawe ujue mtu huyo ni mbumbumbu hata kama ana PhD
 
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Vipi kwani mpango wake wa kuinject trilion 5 umeshindikana au hizo trilion hazipo Tena hii serikali ina watu wa hovyo sana yaani wenye kujijali n akujali maslahi yao tu.
 
😂😂😂😂 mama karatasi hz hapa saini hapo chini 🖎🖎🖎🖎mtu anasaini then baadae kuja kushtuka umeuza nyumba 👀👀👀
 
Back
Top Bottom