Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ni masaa 24 tangu muwekewe salary….jamani watumishi nakopesha fweza mkuje 😂
 
Naona wa Hazina keshafanya yake makato yamepita.

Bado huyu wa CRDB hataki kubonyeza kitufe watumishi tufanye sherehe.

Au anataka madogo walalie hivi vipande vya mihogo na maji kama mchana.

Fungu ni ile mara nyingi tumezoea kuita "VOTE CODE" yaani aina maalum ya utambulisho wa wizara, idara, au halmashauri unayofanyia kazi (kwa mfano, namba kama 20 inamanisha STATE HOUSE), na haifanani kwa kila mwajiri wa umma bali unaijua kwa kuangalia kwenye salary slip ama kuuliza kitengo cha rasilimali watu ama utawala kwenye taasisi.

Tumia ile salaryslip portal, zipo toka jana zipo live za Julai

WIzara ya fedha salary slip portal

Ushaelewa nyumbu

ila ukichek salary slip portal tayari ushawekwa

Achana na ESS angalia kupitia salary
Hivi hii salaryslip portal inatumika kuangalia kama makato yamepita tu au ina matumizi mengne? I mean "what are advantages of this portal" to government employees?
 
Hivi hii salaryslip portal inatumika kuangalia kama makato yamepita tu au ina matumizi mengne? I mean "what are advantages of this portal" to government employees?
Slip inasaidia kukuonesha mchanganuo wa makato yaliyopita kwenye basic salary yako.
 
TEMESA kutamu kama wewe ni mtu wa manunuzi, Uhasibu na ukiwa fundi mkuu au meneja.
Kuingiza 1m. kwa siku kawaida tu.
TPA sasa hivi kwenye issues za madili waaarabu wamepiga pin ila mshahara na posho sio haba
mkuu, mie ni mwalimu (nina degree). Nataka kwenda kusomea degree nyngne. nimechanganua nikaona nisome either sheria au IT. Je kwa uzoefu wako ww, kati ya hzo carrier mbili ni ipi inahtajika sana huko kwny taasisi au mashirika ya umma? nataka niondoke huku local government. (waweza kunishauri pia hata carrier tofauti na hzo hapo nlozoweka).

Samia atosha tukutane2030
 
Kama upo kijijini hiyo ada unayotaka kwenda masomoni bora ununue ardhi uwekeze kwenye kilimo na ufugaji.

Kusema usome ili uingie kwenye taasisi kubwa utapoteza muda tu na hata ukimaliza huna uhakika wa kupata hizo nafasi na ikitokea umepata hamna utakachobadilisha, maana hata kwenye hizo taasisi bado watu Wana njaa kali tu.

Lakini kama unataka status kuwa unafanya kazi kwenye taasisi kubwa unaweza kuendelea na huo mpango wako.
 
Nyumba ya kuoangisha gharama yake ni sh ngapi na Kodi ni sh ngapinna faida yake ni sh ngapi na kwa muda Gani. ujinga
jamaa nisaidie verse nitoe kitu hela ya studio walimu wenzangu watanichangi
 
Back
Top Bottom