Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Maana naona kama kuna watu wanatamani simu zao ziingie meseji za mishahara😄😀
Hali ni ishakuwa tete itabidi nifate ushauri wa wadau nitafte side hassle, maana kesho kuna hati hati ya kutembea kwenda kazini.
 
Back
Top Bottom