Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hameni ,wezi hao ...Yaan wapate pigo .....Naona machawa wakimsifia yule Abdulmajid, mwaka jana watu walipoteza pesa ila yeye linacheka tu , linatangaza faida ...Bank hiyo ni ya kishamba tofauti na miaka ya nyuma.
Nakumbuka miezi ya nyuma crdb ilikuwa inatangulia kutema salary ila sasa hvi ni huzuni
 
Au sio
 

Attachments

  • Screenshot_20260724_174441_TikTok.jpg
    Screenshot_20260724_174441_TikTok.jpg
    34.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom