Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Haiwezekani
Technically staff hawezi lipwa Sawa na non-tech staff.

Tech staff kama eng na ict halipwi Sawa na hr, pmu, wanasheria nk.

Tech staff ni tgs E
Non Tech ni tgs D
HR’s walijipambania wenywe mkuu sasa ivi anaeanza kazi anakula E na hawajiri HR wenye diploma (hawa wanakuwa watendaji wa kata au vijiji) wanasheria nao wanaanza na E pia
 
Back
Top Bottom