Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Japo mm niko NMB na nimepata salary lakini nakereka na hii bank ya CRDB kwa uduwanzi wanaofanya... Yule CEO wao nikajua ana IQ nzuri kumbe hamna kitu bichwa kubwa utafikiri mama Samia.
 
Mad Max safari hii hujaonyesha ushirikiano wowote ulikaa kimya mpaka mimi nikajitokeza front mshahara umetolewa kwa nguvu zangu mm ambaye sina cheo chochote kwenye huu umoja... umekua mzigo sna, jitafakari..😅🤣😂
 
Amekua

Amelambishwa asali amekua fala
 
IMG_7680.jpeg

Leo CRDB wamezingua imefika tarehe 24 usiku kabisa. But it’s all good, seen all next month.🙏🏼
 
Back
Top Bottom