King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,104
- 98,429
Namuelewa ,ukiwa hauna kitu ,hasira kama zote!! kila mtu unamuona adui ,tunawapa somo watafute other source.😂😂 Eti Mbweha, kisa mshahara jamaa anaanza kutoa matusi
Namuelewa ,ukiwa hauna kitu ,hasira kama zote!! kila mtu unamuona adui ,tunawapa somo watafute other source.😂😂 Eti Mbweha, kisa mshahara jamaa anaanza kutoa matusi
Nimetamani matako yakoBil shaka umezitamani 😂
Mtu akianza tu kufanya biashara ambayo inachukua miaka hata 4 kupata faida anajifanya tayari ana akili kuliko watumishi wote wa serikalDunia hatufanani.
Shangazj yangu kaanza ajira akiwa na miaka 19 amestafuu na miaka 60
1. Hajawahi kwenda kusoma
2. Hajawahi fanya biashara YOYOTEE
Kifupi katulea kwa kutegemea mshahara tu na TUMEKUWA..
Usikariri.
Sio kila mtu afanye "Side Hustle"
Wasiopenda kusoma hata hapo kazini kwako WAPO.
Wanaotegemea mshahara tu hata hapo Kazini kwako WAPO.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Gen Z wanakuwa na hasira sana , yes ukiambiwa kitu unakichuja ,mazuri unachukua ,mabaya unaacha ,JK alisema cha kuambiwa unachanganya na zako ,ila hawa Gen Z wao ni MATUSI tu!!Ndo kusema Watumishi tukikosa Mshahara tunakuwa wakali hivyo. Lol.
Siku zote ushauri huwa unapokelewa halafu kufanyiwa au kutofanyiwa kazi ni maamuzi ya wewe mpokeaji.
#Mnisamehe jamani msinitukane.
kingkong saidia huyu hata elfu 10HIVI SASA NI SAA 12 KAMILI
Naenda ghetto kulala njaa
Kua mtu anayelipwa milioni 2 mshahara hautoshi,ila anayelipwa mshahara milioni 1 na side hustle zake zote kwa mwezi anapata laki 6,jumla 1.6M yeye anatosheka?Namuelewa ,ukiwa hauna kitu ,hasira kama zote!! kila mtu unamuona adui ,tunawapa somo watafute other source.
Boya wewe huko juu umesema unaenda lala njaaNimetamani matako yako
Fungu ni ile mara nyingi tumezoea kuita "VOTE CODE" yaani aina maalum ya utambulisho wa wizara, idara, au halmashauri unayofanyia kazi (kwa mfano, namba kama 20 inamanisha STATE HOUSE), na haifanani kwa kila mwajiri wa umma bali unaijua kwa kuangalia kwenye salary slip ama kuuliza kitengo cha rasilimali watu ama utawala kwenye taasisi.Hii ya "Fungu" ikoje ...
Naomba Elimu
#YNWA
#YANGA_BINGWA
🙏🙏Aiseee umeongea jambo zuri sana ,nina imani wananzengo wa kusubiria tarehe kama wakikuelewa watafaidika sana ,ukweli mishahara yetu hii ambao tupo position za kawaida ni ngumu sana kutuboa ,the only solution ni kutafuta other source ya income.
Na ndo ipo hivyo siku zote. Na ukiona wale wanaotoboa ujue wapo sehemu ambapo kuna shilingi mbili tatu nikimaanisha kutoka kwa wale anaowapatia huduma.Hii mishahara ukiingia tu karibia 60% unalipa madeni ,iliyobaki 40% hautoboi hata siku 10 mbele bila alternative unaumbuka.
Mkuu hujaeleweka
Hahaha 🤣 🤣 iWazee wa kazi na utu mambo vip? Naona bado bila bila huku.
Heee.Acha shobo na kujifanya mjuaji Kila mtu ashinde mechi zake
Kua mtu anayelipwa milioni 2 take home kama ni mshahara hautoshi,ila anayelipwa mshahara take home milioni 1 na side hustle zake zote kwa mwezi anapata laki 6,jumla 1.6M yeye anatosheka?
Mkuu umezua taharuki ujue.Gen Z wanakuwa na hasira sana , yes ukiambiwa kitu unakichuja ,mazuri unachukua ,mabaya unaacha ,JK alisema cha kuambiwa unachanganya na zako ,ila hawa Gen Z wao ni MATUSI tu!!
Kama ni Vote Code naelewa.Fungu ni ile mara nyingi tumezoea kuita "VOTE CODE" yaani aina maalum ya utambulisho wa wizara, idara, au halmashauri unayofanyia kazi (kwa mfano, namba kama 20 inamanisha STATE HOUSE), na haifanani kwa kila mwajiri wa umma bali unaijua kwa kuangalia kwenye salary slip ama kuuliza kitengo cha rasilimali watu ama utawala kwenye taasisi.
Ni kweli kabisa ,mshahara hautoshi hata kidogo kwasababu tayari ushaupangia matumizi ,ili uwe na uhakika wa mwezi kwa mwezi kukutana lazima ufanye mafekeche(other source) ,wengine ndiyo hivyo atapiga papatu papatu kwa kunyooshewa mkono anapotoa huduma ,wengine watapiga mishe mishe kuongeza kipato.🙏🙏
Na ndo ipo hivyo siku zote. Na ukiona wale wanaotoboa ujue wapo sehemu ambapo kuna shilingi mbili tatu nikimaanisha kutoka kwa wale anaowapatia huduma.
Kenge we hizo ni changamsha genge, peleka usenge, sipendi shobo coz hiyo bidhaa inayokuwasha mi sio mtumiaji,Boya wewe huko juu umesema unaenda lala njaa
Unam-support King Kong III bibie nitakutukana... watu tuna hasira aisee, you bera wochi yua back 😅🤣😂Heee.