Crdb bado kwanguMbona huku CRDB Bado?
Hukujaza pepmis good bye...Crdb bado kwangu
Not related to pepmisHukujaza pepmis good bye...
Achana na mishahara yetu bwana. Ushauri hatutaki, mbona unatulazimisha?Kwenye context ya hapa - kutoboa ni kwamba mishahara inakutana,yaani kabla wa mwanzo haujaisha mwingine ushaingia.....Lets assume unachukua mlio ambao umeingizwa tar 23 June ,unasonga nao hadi kufikia tarehe 23 July bado kuna hata vilaki na ushehe bado vipo vinapumua.
🇹🇿24.07.26
Wote mtapata haki zenu, wala msilumbane wakuu.
#Hallelujah!!!
WIzara ya fedha salary slip portalSawa mh Ngedere haya ni wapi mnaangalizia?
Mzigo umeshatoka,chek salioAliepata crdb anishtue
Aaahaaa,na watu tushaula na tushakopa tenaKinachonifurahisha kwenye huu uzi mzigo ukiingia kwa watumishi wote, na wenyewe unapotea!
Tarehe zikikaribia, unafufuka tena 😀
Umekopa advance mzeeAaahaaa,na watu tushaula na tushakopa tena
Sasa kwenye uzi wetu wa mishahara unatafuta nini?Zero brain lakini sitegemei mshahara kama wewe
Ndio maana ya huu uzi sasa. Mishahara ikishatoka, tunautelekeza hadi tarehe 20 tena🤣🤣Huu uzi mshahara ungekuwa ushatoka usingekuwa unatembea kiasi hiki