Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,406
- 103,891
Umejaza PEPMIS?Oya wakuu hivi seriously hawa NMB salary haiingii na leo?
Umejaza PEPMIS?Oya wakuu hivi seriously hawa NMB salary haiingii na leo?
This is murderSaa 4:14 Jioni hii sijapata Salary🤔
Mshahara wako una koma ngap??
******* Usitupangie cha kukomenti wewe!!!Tumisemo twenu twa ******* hatutaki kwenye huu uzi... kitambo sana nimewavumilia..
Sitoi kiki kwa underdog dogo . Peleka stress zako hukoo!!Ulishazaliwaga na U...T..I peleka umerlaya wako huko.
Nafika hapo kipo na wanangu wa 24 tunakuja na kluger ya samawatiHahahaha Nyumbani park mwambie Gerald hapo unasubiria muamala huku unaendelea kupiga vyombo..
Hahahaha Tukutane Break point mwembetogwaa
Kabisa yaaani rafiki. 💃💃
Hii comment niliisoma jana nikaitafakariiiiiiiii nikaipotezea. Leo nikiwa nmetulia zangu home nikaikumbuka tena nikaitafakaaaariii ikabidi nije niitafute tena. Nimeanzia page ya mwisho nikawa na-back to previous page mpaka nikaipata. Japokua umecomment kama utani ila mi naona ni jambo zuri kabisa na tunaweza kulitekeleza. Hebu wadau wengne akina spidernyoka , DR SANTOS ,Equation x , DUBULIHASA, Palac , Kazanazo, mhuri25, Leonce jr, STUKA M1 na WENGINEO , vp mnalionaje hii idea ya jamaa yet Mad Max mi naona kama tunaweza kufanya jambo, hata tukiwa tunatoa laki tu kwa kila mweziAu tuanzishe kikoba humu, kila mwezi Anatoka mtu
Wazo ni zuri cha kuongezea mweka hazina awe Maxence MeloHii comment niliisoma jana nikaitafakariiiiiiiii nikaipotezea. Leo nikiwa nmetulia zangu home nikaikumbuka tena nikaitafakaaaariii ikabidi nije niitafute tena. Nimeanzia page ya mwisho nikawa na-back to previous page mpaka nikaipata. Japokua umecomment kama utani ila mi naona ni jambo zuri kabisa na tunaweza kulitekeleza. Hebu wadau wengne akina spidernyoka , DR SANTOS ,Equation x , DUBULIHASA, Palac , Kazanazo, mhuri25, Leonce jr, STUKA M1 na WENGINEO , vp mnalionaje hii idea ya jamaa yet Mad Max mi naona kama tunaweza kufanya jambo, hata tukiwa tunatoa laki tu kwa kila mwezi
Wanaume na vikoba wapi na wapi? Tunatakiwa tuwaze mambo mazito.Hii comment niliisoma jana nikaitafakariiiiiiiii nikaipotezea. Leo nikiwa nmetulia zangu home nikaikumbuka tena nikaitafakaaaariii ikabidi nije niitafute tena. Nimeanzia page ya mwisho nikawa na-back to previous page mpaka nikaipata. Japokua umecomment kama utani ila mi naona ni jambo zuri kabisa na tunaweza kulitekeleza. Hebu wadau wengne akina spidernyoka , DR SANTOS ,Equation x , DUBULIHASA, Palac , Kazanazo, mhuri25, Leonce jr, STUKA M1 na WENGINEO , vp mnalionaje hii idea ya jamaa yet Mad Max mi naona kama tunaweza kufanya jambo, hata tukiwa tunatoa laki tu kwa kila mwezi
Shusha nondo mkuuWanaume na vikoba wapi na wapi? Tunatakiwa tuwaze mambo mazito.
Zinakuja mkuu, ngoja tukaoshe macho huko duniani.Shusha nondo mkuu
Tukutane 22 NovemberZinakuja mkuu, ngoja tukaoshe macho huko duniani.