Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,473
- 3,542
Dah kwa hiyo hizo karatasi ndo unaona heela, watu sikuhizi tunacheza na digit figure tu sio makaratasi
Dah kwa hiyo hizo karatasi ndo unaona heela, watu sikuhizi tunacheza na digit figure tu sio makaratasi
Dunia hatufanani.Mi nimekuelewa sana tu Mkuu. 🤝
Usione napita huku nacheka kuna muda nashangaa comments za wanazengo inakuwaje mtu anakosa hadi nauli kuna saa najisemea huenda wanachangamsha genge.
Mfano kama mimi siko kwenye hatua ya kukaa hadi kukosa mpaka nauli sababu nina Plan B. Kama hapa nilishalitumikia Taifa kwa sasa nipo sehemu natafuta mia mbili.
Hivyo uko sahihi kabisa sababu asikwambie mtu kiuhalisia Mshahara pekee hautoshi na ukisema kuutegemea basi ujiandae kuwa mkopaji kila uchwao sababu ni ngumu sana mshahara wenyewe kama wenyewe kukutana.
Na ukitaka iwe hivyo inabidi uishi kujibana bana kweli kweli.
TEMESA kutamu kama wewe ni mtu wa manunuzi, Uhasibu na ukiwa fundi mkuu au meneja.Nimegoma kwenda TAMESA, Kuna Taasisi naitaka pale Dodoma.
Ndio napambana, NIOMBEEE.
Ombi la uhamisho lipo Utumishi
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Maisha yana njia 100 sio kila mtu apite yako ya 77.Ndo kusema Watumishi tukikosa Mshahara tunakuwa wakali hivyo. Lol.
Siku zote ushauri huwa unapokelewa halafu kufanyiwa au kutofanyiwa kazi ni maamuzi ya wewe mpokeaji.
#Mnisamehe jamani msinitukane.
Aiseee umeongea jambo zuri sana ,nina imani wananzengo wa kusubiria tarehe kama wakikuelewa watafaidika sana ,ukweli mishahara yetu hii ambao tupo position za kawaida ni ngumu sana kutuboa ,the only solution ni kutafuta other source ya income.Mi nimekuelewa sana tu Mkuu. 🤝
Usione napita huku nacheka kuna muda nashangaa comments za wanazengo inakuwaje mtu anakosa hadi nauli kuna saa najisemea huenda wanachangamsha genge.
Mfano kama mimi siko kwenye hatua ya kukaa hadi kukosa mpaka nauli sababu nina Plan B. Kama hapa nilishalitumikia Taifa kwa sasa nipo sehemu natafuta mia mbili.
Hivyo uko sahihi kabisa sababu asikwambie mtu kiuhalisia Mshahara pekee hautoshi na ukisema kuutegemea basi ujiandae kuwa mkopaji kila uchwao sababu ni ngumu sana mshahara wenyewe kama wenyewe kukutana.
Na ukitaka iwe hivyo inabidi uishi kujibana bana kweli kweli.
Ok! Mkuu haina shida. 🤝Hakuna ukali haina haja ya kuchekea ******* wanatudhiaki thread ziko nyingi sana sasa wao wanakujaje kutukejeli ilahali tukiwa tunatoa huduma wanakuwa wasumbufu sana wao inawauma nini sisi kuulizana mshahara
Sidhani kama umenielewa Mkuu.Dunia hatufanani.
Shangazj yangu kaanza ajira akiwa na miaka 19 amestafuu na miaka 60
1. Hajawahi kwenda kusoma
2. Hajawahi fanya biashara YOYOTEE
Kifupi katulea kwa kutegemea mshahara tu na TUMEKUWA..
Usikariri.
Sio kila mtu afanye "Side Hustle"
Wasiopenda kusoma hata hapo kazini kwako WAPO.
Wanaotegemea mshahara tu hata hapo Kazini kwako WAPO.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kabla hujatafuta maisha kwanza define kwako, KUTOBOA NI NINI, halafu tafuta huko kutoboa.Aiseee umeongea jambo zuri sana ,nina imani wananzengo wa kusubiria tarehe kama wakikuelewa watafaidika sana ,ukweli mishahara yetu hii ambao tupo position za kawaida ni ngumu sana kutuboa ,the only solution ni kutafuta other source ya income.
Hii mishahara ukiingia tu karibia 60% unalipa madeni ,iliyobaki 40% hautoboi hata siku 10 mbele bila alternative unaumbuka.
Mkuu tutakupigga.Weka namba uokote mkuu ,jumatatu mbali sana! Usikaze FUVU !
View attachment 3635519
Mwanangu nina mkopo wa loan board makato ni yaleyale means "SAMIA HAJAONGEZA KITU"" 😭😭😭😭Angalia kwenye ESS KAMA UMEKOPA SEHEMU YA BALQNCE YA MKOPO WAKO UTAONA HELA IMEPUNGUA ILA MPAKA UWE UMEKOPA
Hapa nimekuelewaTEMESA kuna pesa sana zaidi ya ujuavyo. Pesa za TEMESA TBA na TANROADS ni za upepo. Ukikaa kwenye mfumo hata uambiwe wakupeleke BOT huwezi kukubali huo upumbavu.
Hizo taasisi ni za uza nunua. Pesa tu inaongea mda wote.
Ila ukiwekwa nje ya mfumo lazima upagawe
Una akili ndogo sana.Wewe Kenge ebu soma profile yangu uone Joining Date na kuacha kuuliza maswali ya KIPUMBAVU.
Mimi naingiza pesa nikiwa online ,nimeanza kutumia internet tangia mwaka 1996 ,nipo JF kujifunza na kupata new ideas ,nipo JF pia kutoa elimu kwa MAZWAZWA.
Hivi kwenye ulimwengu huu wa cheap internet na cheap devices za kuaccess intenet unaulizwa maswali ya KIWACK? Nenda kaangalie matop Bilioneaz uone 90% kipato chao kinatokana na internet/Computer.
View attachment 3635502
Mtani kuna mstari mmoja wa profesa jay kwenye wimbo wake wa tathmini anasemaMkuu tutakupigga.
Yaani hatuna kitu halafu unatuonyesha njuruku hizo. Lol🤣🤣
😂😂 Eti Mbweha, kisa mshahara jamaa anaanza kutoa matusiSasa mbona umeanza tena matusi? Najua ni njaa tu ya kukosa mshahara ,tafuta other source wewe MBWEHA ili usiwe na hasira ,ngoma mpaka jumatatu hiyo! Mambegesi.
Kua mtu anayelipwa milioni 2 mshahara hautoshi,ila anayelipwa mshahara milioni 1 na side hustle zake zote kwa mwezi anapata laki 6,jumla 1.6M yeye anatosheka?Mi nimekuelewa sana tu Mkuu. 🤝
Usione napita huku nacheka kuna muda nashangaa comments za wanazengo inakuwaje mtu anakosa hadi nauli kuna saa najisemea huenda wanachangamsha genge.
Mfano kama mimi siko kwenye hatua ya kukaa hadi kukosa mpaka nauli sababu nina Plan B. Kama hapa nilishalitumikia Taifa kwa sasa nipo sehemu natafuta mia mbili.
Hivyo uko sahihi kabisa sababu asikwambie mtu kiuhalisia Mshahara pekee hautoshi na ukisema kuutegemea basi ujiandae kuwa mkopaji kila uchwao sababu ni ngumu sana mshahara wenyewe kama wenyewe kukutana.
Na ukitaka iwe hivyo inabidi uishi kujibana bana kweli kweli.
Hakukuwa na haja hata ya kutukana, hayo matusi ni dalili kuwa pesa huna, na huna chanzo kingine cha pesa.Uzi UMESHAINGILIWA NA ******* WAO WAKIJA KWENYE TAASISI ZETU ZA UMMA WANATAKA TUWAHUDUMIE VIZURI TUKIULIZANA HELA ZETU IMEKUWA NONGWA.
NYIE ******* ACHENI SHOBO KAMA TUMEAMUA KUFA KWA MTUMISHI WA UMMA MTUACHE MATAKO YENU
Acha shobo na kujifanya mjuaji Kila mtu ashinde mechi zakeNdo kusema Watumishi tukikosa Mshahara tunakuwa wakali hivyo. Lol.
Siku zote ushauri huwa unapokelewa halafu kufanyiwa au kutofanyiwa kazi ni maamuzi ya wewe mpokeaji.
#Mnisamehe jamani msinitukane.
Bil shaka umezitamani 😂Dah kwa hiyo hizo karatasi ndo unaona heela, watu sikuhizi tunacheza na digit figure tu sio makaratasi