Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 460
- 655
Jitahidini muwe mnaweka hela UTT AMIS ukikwama unachomoa kidogo
Ona ulivyo na akili kdg sanaJitahidini muwe mnaweka hela UTT AMIS ukikwama unachomoa kidogo
We Mbweha msubiri mshahara,unapewa ushauri unakaza shingoOna ulivyo na akili kdg sana
😂😂😂😂We Mbweha msubiri mshahara,unapewa ushauri unakaza shingo
Huna akilli wewe angalia vitu unavyokoment ndio utsjua kuwa wewe ni ZERO BRAINWe Mbweha msubiri mshahara,unapewa ushauri unakaza shingo
Zero brain lakini sitegemei mshahara kama weweHuna akilli wewe angalia vitu unavyokoment ndio utsjua kuwa wewe ni ZERO BRAIN
Bridger piga ban huyu anatukana matusiWe Mbweha msubiri mshahara,unapewa ushauri unakaza shingo
Ww mbona umetukana matusi makubwa huko juuBridger piga ban huyu anatukana matusi
Nzuri hiiWakuu nimelia sana na kuilaumu jamhuri, nimepata za chinichini kwamba ni tar 28
Tumia ile salaryslip portal, zipo toka jana zipo live za JulaiView attachment 3635753acha uongo ndugu
Sina hiyo tabia... ni-tag kwenye hiyo post km nilivyofanya mmWw mbona umetukana matusi makubwa huko juu
HazipoTumia ile salaryslip portal, zipo toka jana zipo live za Julai
Azima hela kwa kaka yako KINGKONGEeh M'Mungu tusaidie hao wahusika huko wabonyeze kitufe huu mshahara utoke leo mana ukisema hadi ifike jumatatu utakuta familia ya Watumishi wa Umma wa Jf yote imeparaganyika kutokana na kugombana.
Hahahaaa. Umeanza Mkuu.Azima hela kwa kaka yako KINGKONG
Usitumie ESS , tumia ile ya Wizara ya fedhaHazipo
Salary slip huwez kuikuta hapo kwa mapema, muwe mnauliza wenzenu tunapoangaliaView attachment 3635753acha uongo ndugu
HahahaEeh M'Mungu tusaidie hao wahusika huko wabonyeze kitufe huu mshahara utoke leo mana ukisema hadi ifike jumatatu utakuta familia ya Watumishi wa Umma wa Jf yote imeparaganyika kutokana na kugombana.