MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,257
- 6,814
Yani hawa CRDB ni kumbafu sanaNina kila sababu ya kuwahama CRDB sasa madako yao..
Yani hawa CRDB ni kumbafu sanaNina kila sababu ya kuwahama CRDB sasa madako yao..
Mimi niliwahi kuchelewesha kurudisha na acoount ikawa haitumiki, nilipoirudia wakanishushia kiwangoMbona una kiwango kidogo sana kupata mshiko fasta ?
Crdb ?UWOOOOOOOOOO
NMBCrdb ?
Jamaa sijui anakwama wapi yaaniYani hicho kijamaa kindimba ni cha hovyo sana. bichwa kubwa lakini hamna kitu..
Kwako imechelewa
Aya sasa mishahara imeshatoka.Hiyo bank watu wahame ni wahuni sana.
Kwishaa😂🤣Aya sasa mishahara imeshatoka.
Kuna watu hadi Jumatatu hela yote
Inasikitisha sanaKwishaa😂🤣
Sawa sawaMimi niliwahi kuchelewesha kurudisha na acoount ikawa haitumiki, nilipoirudia wakanishushia kiwango
Achana na ESS angalia kupitia salary slip portalView attachment 3635753acha uongo ndugu
NMB tangu asubuhiNMB tayari huko?
ni uhuni mimi nimefanya kazi benki, hiyo ni michezo ili wapate deposit ya siku moja ambayo ni faida kwa benki. Wahuni hao wanaachilia mshahara usiku ili usiutoe leo uutoe keshoCRDB naona wametuzoea, hii tabia imekuwa sugu na hawatolei ufafanuzi
Acha tu mkuu watu wa NMB washapew chao mapema ila kwa hawa jamaa wa kijani wanatuzingua ata dalili hamnaYani hawa CRDB ni kumbafu sana
Bank ya kihuni hiini uhuni mimi nimefanya kazi benki, hiyo ni michezo ili wapate deposit ya siku moja ambayo ni faida kwa benki. Wahuni hao wanaachilia mshahara usiku ili usiutoe leo uutoe kesho
Ndio imeingia muda huu au mda mrefu maana na mm sioni hata chembe muda unaenda au wameblock meseji alertsUWOOOOOOOOOO
Itakuwa NMB huyoNdio imeingia muda huu au mda mrefu maana na mm sioni hata chembe muda unaenda au wameblock meseji alerts