Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kwani Nyie mnaendaga wapi Wagwan
 

Attachments

  • HNhhuwcXsAAsGEi.jpg
    HNhhuwcXsAAsGEi.jpg
    398.3 KB · Views: 14
Kuliko ufanye top-up ni bora ukope upya bank nyingine kwa muda huo huo unaotaka. Huwa tunawala pesa zenu nyingi kwenye top-up. Hii siri hakuna loan officer wa bank uliyokopa utaenda akakuambia ukweli.
Mara nyingi watu wanaofanya top-up huliwa million 2-10 kulingangana na mkopo anaotaka. Hizo pesa ungezipata endapo ungechukua mkopo fresh kutoka bank nyingine.
Mnatulia pesa si ndio mwanetu
 
mkuu, mie ni mwalimu (nina degree). Nataka kwenda kusomea degree nyngne. nimechanganua nikaona nisome either sheria au IT. Je kwa uzoefu wako ww, kati ya hzo carrier mbili ni ipi inahtajika sana huko kwny taasisi au mashirika ya umma? nataka niondoke huku local government. (waweza kunishauri pia hata carrier tofauti na hzo hapo nlozoweka).

Samia atosha tukutane2030
Sheria siku hizi ni kama takataka tu.
IT ndiyo imeteka Dunia kwa sasa
 
Kama upo kijijini hiyo ada unayotaka kwenda masomoni bora ununue ardhi uwekeze kwenye kilimo na ufugaji.
Ahsante kwa ushauri. ni kweli npo kijijin ila watu wa huku huwa hawauzi ardhi yao kwa sisi wageni. kwa hyo siwez kufanya kilimo wala ufugaji (hii inamaanisha pia sitokuja kujenga hata nikikaa huku miaka 10 ntakua mpangaji tu). cha pili hata biashara wanafanya kwa kujuana hvyo hata ukifungua duka hawaji kununua sabab wanaambizana yule sio kabila letu msiende kununua kwake.
Kusema usome ili uingie kwenye taasisi kubwa utapoteza muda tu na hata ukimaliza huna uhakika wa kupata hizo nafasi na ikitokea umepata hamna utakachobadilisha, maana hata kwenye hizo taasisi bado watu Wana njaa kali tu.
Kuhusu ada, nimepanga nisome OPEN UNIVERSITY ambapo ntatumia mshahara kulipa ada maana utaratbu wao n kwamba unalipa ada ya units utazosoma semister husika only.
Lakini kama unataka status kuwa unafanya kazi kwenye taasisi kubwa unaweza kuendelea na huo mpango wako.
Ukiachana na maslahi yaliyoko kwny hzo taasisi lakn pia nataka kubadili carrier niachane na ualimu.
wilcoxon
 
Wakuu uzi ulipata washauri wengi sana hadi lengo likapotea sasa watu wameshapata tunaomba iwe muda wa ushauri wa fursa kabla hela hazijaisha. Sio tunaanza mwezi kwa shida na kazi mko kimya tukidai ujira inakuwa maneno tukumbukane muda wote kwa sasa Ile kauli mtu akiwa ananjaa anamatusi haitakuwa tena.
 
Mi nimekuelewa sana tu Mkuu. 🤝

Usione napita huku nacheka kuna muda nashangaa comments za wanazengo inakuwaje mtu anakosa hadi nauli kuna saa najisemea huenda wanachangamsha genge.

Mfano kama mimi siko kwenye hatua ya kukaa hadi kukosa mpaka nauli sababu nina Plan B. Kama hapa nilishalitumikia Taifa kwa sasa nipo sehemu natafuta mia mbili.

Hivyo uko sahihi kabisa sababu asikwambie mtu kiuhalisia Mshahara pekee hautoshi na ukisema kuutegemea basi ujiandae kuwa mkopaji kila uchwao sababu ni ngumu sana mshahara wenyewe kama wenyewe kukutana.

Na ukitaka iwe hivyo inabidi uishi kujibana bana kweli kweli.
Pesa nzuri ni hizi ndogo ndogo za kuingiza kila siku
 
Jaman huu uzi si tulikubaliana unafunguliwa tarehe 19 nakufungwa 25 tu imekuwa unaanza mapema ku trend??

Ndio maana unaingiliwa na wasio watumishi wa umma wanaanza kuponda na kejeli nying zenye maudhi
 
Back
Top Bottom