Za asubuh wakuu ndugu...jana siku haikua nzur kwangu, ila leo Mungu yupo nami wakuu
Mdau betting ningumu mimi naamini tafuta mtaj wa laki1 kuwa benet na deep pond cheza elf 5 kwa elf 10 nadhan urafanikiwa, tujiulize kama yeye analaza faida daily kwann sisi tushindwe?
 
Mtoto wa Nzi zile coners za Europa jana over 5.5 FT ulitupia? Naona kama zilitiki zote, tatizo letu tunapuuzia.
 
Daaa x1bet mpango mzima jana kwenye majaribia nikiwa najifunza kutumia jana nimetest mikeka mi3 nikiwa naweka jerojero zote zimetik sasa lasmi nawekeza
 
Wakuu zaasubuhi kwanza mwenye odi ata mbili zauhakika kidogo maana mm nimgeni nanimechezea kichapo cha wiki nzima hapa nipohoi simtamani kanji yani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…