Niliweka zote za Jana isipokua Hungry ilokuchania ww, na za Leo isipokuwa Belarus vs Ireland hao nao hawatabiriki. Wales na Turkey wakikaza kesho nipe number yako PM nikurushie mtaji wa betting
Niliweka zote za Jana isipokua belarus ilokuchania ww, na za Leo isipokuwa hungury vs hao nao hawatabiriki. Wales na Turkey wakikaza kesho nipe number yako PM nikurushie mtaji wa betting
Ntakuchek kiongoziNiliweka zote za Jana isipokua Hungry ilokuchania ww, na za Leo isipokuwa Belarus vs Ireland hao nao hawatabiriki. Wales na Turkey wakikaza kesho nipe number yako PM nikurushie mtaji wa betting
Ukiona hivyo ujue hujalogin..login afu jaribu uone.Hawa parimatch mbn siwaelewView attachment 1124663
Mkuu naona odds 11 hapo siseee daaaaah ilibidi uweke fungu ili usibeti mwezi mzima huu.Pesa y'all betting inapanda na kushuka zaidi y'all soko LA hisa. Ila ukicheza vizuri hela IPO.
Mkuu Tafadhali nielekeze mechi ya Chile wameandika INTERUPTED kabla haijaisha, je hii inamaanisha nn au ndo gemu itarudiwaNiliweka zote za Jana isipokua Hungry ilokuchania ww, na za Leo isipokuwa Belarus vs Ireland hao nao hawatabiriki. Wales na Turkey wakikaza kesho nipe number yako PM nikurushie mtaji wa betting
Game imeisha sweden 2Mkuu Tafadhali nielekeze mechi ya Chile wameandika INTERUPTED kabla haijaisha, je hii inamaanisha nn au ndo gemu itarudiwa
Duh! Nineipenda Bure Mkuu.
Ngoja Nicheze Na Mimi Hizi Over 0.5! Naweka 20,000!
Niwakumbushe tena wanajamvi wenzangu sio lazima kubeti kila siku jamani
Kuna siku zinanona mechi zinaonekana uchi wa mnyama ila kuna siku MECHI NYINGI UNAKUTA ZIMEVAA NGUO na Macho zinaziba hapo jitahidini tu kupumzika.
Nikweli mkuuNiwakumbushe tena wanajamvi wenzangu sio lazima kubeti kila siku jamani
Kuna siku zinanona mechi zinaonekana uchi wa mnyama ila kuna siku MECHI NYINGI UNAKUTA ZIMEVAA NGUO na Macho zinaziba hapo jitahidini tu kupumzika.
Sio lazima mkomae na football mbona Leo kwenye tennis kumenoga..wanagawa pesa...!Niwakumbushe tena wanajamvi wenzangu sio lazima kubeti kila siku jamani
Kuna siku zinanona mechi zinaonekana uchi wa mnyama ila kuna siku MECHI NYINGI UNAKUTA ZIMEVAA NGUO na Macho zinaziba hapo jitahidini tu kupumzika.
Muwe mnaelewesha watu kuhusu huo mchezo wa Tenis...watu waufahamu unachezwaje then ndio useme Tennis kumenoga...Sio lazima mkomae na football mbona Leo kwenye tennis kumenoga..wanagawa pesa...!
Naomba mnielekeze jinsi ya kubet na kampuni gani nzuri kwa tunaojifunza na michezo ipi inafaa maana kila nikisoma comments sielewi kitu!Muwe mnaelewesha watu kuhusu huo mchezo wa Tenis...watu waufahamu unachezwaje then ndio useme Tennis kumenoga...
Watu watavamia bure na kupigwa na kaka Kanji
Naomba nielekeze jinsi ya kubet.Natafuta hela ya biaView attachment 1125518
Ndugu yangu mambo ni mengi na muda ni mchache sana kukuelekeza namna ya kubetNaomba nielekeze jinsi ya kubet.
Asante mkuu.Ndugu yangu mambo ni mengi na muda ni mchache sana kukuelekeza namna ya kubet
Inatakiwa kwanza anza kujiongeza wewe kwa kufanya utafiti kujua abc za kubet
Hebu fanya ku google basi
Nakushauri anza na betpawa kisha deposit hata 1000 tu
Uanze kwa kujifunza na stake hata za sh 10 uone yaliomo yamo?
Bofya link kwa msaada zaidi