cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,793
- 189,241
๐๐๐๐๐Kwenye hili ngoja ninyamaze tuu ๐
๐๐๐๐๐Kwenye hili ngoja ninyamaze tuu ๐
Zilipendwa mejii ume anza vurugu!Sasa huo uhakika ni wa kwenye uzi wa fantasy, mie nikajua umewahi kuniinamisha na kunipumulia mgongoni.
Em kaoneshe hiyo comment niliyosema nimewahi kupigwa mtungo? Yess natetea na kuwakubali gays.
Waja wa JF mmevurugwaa eeeh? ๐๐๐๐
Waja wa JF nawachachua. ๐๐๐๐Zilipendwa mejii ume anza vurugu!
Hawajui ka we ni pesee kale, lipsi shanta shantaWaja wa JF nawachachua. ๐๐๐๐
Umeolewa mtoto rito ?Sasa huo uhakika ni wa kwenye uzi wa fantasy, mie nikajua umewahi kuniinamisha na kunipumulia mgongoni.
Em kaoneshe hiyo comment niliyosema nimewahi kupigwa mtungo? Yess natetea na kuwakubali gays.
Waja wa JF mmevurugwaa eeeh? ๐๐๐๐
Ana impacts gani huyo kaka?Au ndo wamemuua ili kubadilisha upepo?
Aaagh! Pombe hizi.. Wacha nikajilalie.
Hata waliochoma mali na kupora nao watakufa na kuchomwaNdiyo ujuwe hata wauaji wa watanganyika unao watetea ipo siku nao watafukiwa chini ya ardhi.
Tenda wema na uwe na utu.. ukijua ya kwamba ipo siku utaiacha hii Dunia.. je utakumbukwa kwa lipi? Kuwatetea wauaji na kuunga mkono wadharimu wa wanyonge?
Una uwakika gani kwamba changamoto za ndoa ndio zilizopeleea kifo chake?Chanzo ni presha ya ghafla,
Jamanii Ndoa hizi, woiiiiiiiiih!!
RIP MC pilipili. ๐ข๐ข๐ญ๐ญView attachment 3502848
ewwRIP kamanda, baada ya ndoa yake kuvunjika hakika hakua sawa.
Video zake zilionesha wazi tabasamu la kulazimisha.
Ukiwa simp hesabu maumivu.
Walimtupa badae ni genge moja na kina masanja.. ila huyu alipokata waya wajuba wakamtelekeza si unajua cover iki fyuuu. Kazi ya informer ya kiwaki sana kama mvua za misimu ndio kilichomkuta kijana wetu alie danja kwa maumivu makali kabisa ya mapenziMbona naskia naye alikua mtu wa...
Anyway niishie hapo hapo
Acha uhuni we fala, Yn unataka kuleta usanii kwenye jumba la sanaa ๐Ina sikitisha sana, ndio maana uli badilika huko nyuma.
Kwani nasema uongo?, we mwenyewe si una sema mambo yako ya nyuma yalikuwa mazuri kabla ya kuharibika.Acha uhuni we fala, Yn unataka kuleta usanii kwenye jumba la sanaa ๐
umri wa kibiblia miaka 80Ulitaka afe akiwa na miaka mingapi?
Nani kakuambia hajateseka ?Afadhali ameenda zake. Mungu Amemuepusha na machafuko yanayokuja kuikumba Tanzania. Kifo cha ghafla. Kifo cha amani. Bila mateso na mahangaiko. Apumzike salama ๐
Ukweli nimerudi nyuma sanaaa kwenye mapenzi, na hili la kifo cha huyu jamaa. Imeniuma sana dogo alikuwa anatamba na demu wake ambae kamtupa, night anakuja nae pale movie M.city yaani.. alafu leo hii huyo huyo alie kuwa anatamba nae ndio kasababisha avute kamba kindezi kabisa.. hiii bagoshaaa, nitaendelea kununua tuNashukuru Mkuu, mapenzi yanaumiza kinoma na sijui kwann ukiwa na mapenzi ya dhati lazima upigwe na kitu chenye ncha kali.
Binafsi sijisifii Ila ukweli n kwamba nna list ya wanawake wachache sana niliowahi kuwa nao kwenye serious relationship Na wote waliniumiza.
Wachungaji wa kisasa ni tatizo na kwa sehemu wame ua ndoa ya huyu dogo. Huyo ex wife toka emekuwa mshirika wa Tony ... Dogo akazidi nyong'onyezwaa uki plus wana walimtupa... Dogo kafa na maumivu makali sana.. Leo imekuwa siku ya hovyo maana kipindi yupo na hicho kidemu mala kibao dogo alikuwa anakuja nako cinema pale twapiga story. dah inauma sanaaMmh ila wanawake sisi Mungu anatuona
Haya kabaki na watt wadogo hawana baba
Nonsense