TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025.

Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikwa na mauti.

Global TV imezungumza na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya General, Dodoma, Ernest Ibenzi ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa MC Pilipili amefikishwa hospitalini hapo akiwa tayari amefariki dunia.

View attachment 3502851

Source: Global TV Online
Siku ya kwanza kusikia hii taarifa nilisema moyoni huyu kauwawa,na ndugu zake waneonyesha ana majeraha na wameenda police kuna mchezo kachezewa tena na watubwa karibu itajulikana
 
😎
Screenshot_20251117_222013_X.png
 
Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025.

Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikwa na mauti.

Global TV imezungumza na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya General, Dodoma, Ernest Ibenzi ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa MC Pilipili amefikishwa hospitalini hapo akiwa tayari amefariki dunia.

View attachment 3502851

Source: Global TV Online
Ukiwasikia saaa wanavyojitapa: tutakuvunja miguu.
Hakuna mtu yuko USELESS wewe, tatizo mko material oriented....Binadamu yoyote ana maana - itategemea unaangalia katika angle ipi.
Unafikiri wenye ndugu vichaa wanatamani WAFE sio??
bora uwe kichaa tujue moja
Kama dr anasema alifikishwa akiwa amefariki hao waliompeleka ni nani na walimtoa wapi?
Hili sijasikia likijadiriwa sehemu yoyote
 
Inasikitisha sana, watu kufanyizia hata kutoana uhai kisa mapenzi. Mmabo ya kiwaki kabisa, watu mnakutana juu kwa juu, mkiachana iwe juu kwa juu. Imeniuma sana ya MC PILIPILI, nyie mliotekeleza huo unyama, mtaanza dondoka mmoja baada ya mwingine kwa namna ya nguvu zisizo onekana. Mmezingua sana mademu wakali wapo kibao why kumaninaaa zenu mnamwaga damu kisa uchi?
 
Back
Top Bottom