TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

Nme screen shot hii comment Bora zaidi kuziona kwenye maisha yang
Nashukuru Mkuu, mapenzi yanaumiza kinoma na sijui kwann ukiwa na mapenzi ya dhati lazima upigwe na kitu chenye ncha kali.

Binafsi sijisifii Ila ukweli n kwamba nna list ya wanawake wachache sana niliowahi kuwa nao kwenye serious relationship Na wote waliniumiza.
 
Shida inayo tokea mwanaume ukiwa sio malaya uta teswa sana na mapenzi mwanamke ana kuona huna kwakwenda ushawai sikia mwanaume malaya ana teseka na mapenzi

Mapenzi ni kama kubet akikuwai mwenzio umekwisha ila wanawake ni wauaji ilo lipo wazi kabisa
Uko sahihi mkuu, Yn ukionyesha mapenzi ya dhati ndo ndivyo unavyoonekana mpumbavu kwa hawa wanawake.
 
Nashukuru Mkuu, mapenzi yanaumiza kinoma na sijui kwann ukiwa na mapenzi ya dhati lazima upigwe na kitu chenye ncha kali.

Binafsi sijisifii Ila ukweli n kwamba nna list ya wanawake wachache sana niliowahi kuwa nao kwenye serious relationship Na wote waliniumiza.

Uko sahihi mkuu, Yn ukionyesha mapenzi ya dhati ndo ndivyo unavyoonekana mpumbavu kwa hawa wanawake.
Umeongea kwa hisia sana umeniliza sana 😁😁😁 haya mambo yanapande zote.
 
Kwamba alikuwa anachunwa tuu lkn hata kumwagia ndani alikatazwa? 😂
Screenshot_20251116-190604.png
 
Pole kwa familia yake, Tarehe 9 wale nyumbu wezi na waharibifu wa mali za watu zikijitokeza barabarani ziuwawe hata million mbili kama ishara ya kumsindikiza
Nyoko zako wewe muuaji uliyeshiriki kuua watu
 
Back
Top Bottom