Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,547
- 18,265
Mzee Baba ulikuwa kimya nikadhani policcm wameshasepa na wewe.Tar 9 walikufa mamia ya watu mbona
ova
Mzee Baba ulikuwa kimya nikadhani policcm wameshasepa na wewe.Tar 9 walikufa mamia ya watu mbona
ova
Ukijiepusha navyo hufi Baba Uswege?Mhh ndoa
Wanawake
Hivi vitu ni vyanzo vya mtu kufa mapema
Wa kaishozi?Dom sec?
😂 Tisa disemba tuikomboe Tanganyika yetu mikononi mwa Malaya, right?Mh sawa no comment
Ahh wapi mkuu mishemishe tuMzee Baba ulikuwa kimya nikadhani policcm wameshasepa na wewe.
Mama gwamaka nishaumwa na nyoka wanawake nawaogopa sana kuna kauli rafiki yangu huwa ana niambia nashindwa kuwaelewa kabisa wanawake na ameolewaUkijiepusha navyo hufi Baba Uswege?
No comment😂 Tisa disemba tuikomboe Tanganyika yetu mikononi mwa Malaya, right?
alikua anaumwa?Nikweli kabisa mwamba kauga mwendo.
😀😀😀No comment
Wanasema hypertensionalikua anaumwa?
duu haya magonjwa ya moyo yamekua mengi, ila alikua na uzito wa kawaidaWanasema hypertension
🎵🎵🎶Mpende akupendae asiyekupenda achana nae🎵🎶Mama gwamaka nishaumwa na nyoka wanawake nawaogopa sana kuna kauli rafiki yangu huwa ana niambia nashindwa kuwaelewa kabisa wanawake na ameolewa
Labda kuna mda nasemaga au kisa nilikataa kuchaguliwa mwanamke🎵🎵🎶Mpende akupendae asiyekupenda achana nae🎵🎶
usi conclude kama wanawake wote wabaya,wema wapo ni vile haujakutana nao Tu!
Nyie hamna matatizo?Mwanamke ana matatizo hajawai tosheka na chochote ata umpe kadi au umpe pesa zote bado
Pole Sana!Labda kuna mda nasemaga au kisa nilikataa kuchaguliwa mwanamke
Shangazi yangu alishaanza kunichagulia mwanamke kutoka mbeya
Tunayo ila ninyi ndio sababuNyie hamna matatizo?
Itabidi nirudi nyumban mambo ya mjini magumuPole Sana!
Ila pia kama tungeruhusu uchunguzi ufanyike maana ckuhz wakata riho ni wengi kama mtu anaweza safiri dar to dom halaf gafla anaumwa hata lisaa haliishi kafa nakumbuka kama vile yule Spika nae alikuja dar mzima karudi dom tu fasta kakata roho kwa hyo hii inanipa mashaka sanaTaarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025.
Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikwa na mauti.
Global TV imezungumza na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya General, Dodoma, Ernest Ibenzi ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa MC Pilipili amefikishwa hospitalini hapo akiwa tayari amefariki dunia.
View attachment 3502851
Source: Global TV Online