Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,859
- 43,768
Mmh alikuwa anasali kwa Tony?Wachungaji wa kisasa ni tatizo na kwa sehemu wame ua ndoa ya huyu dogo. Huyo ex wife toka emekuwa mshirika wa Tony ... Dogo akazidi nyong'onyezwaa uki plus wana walimtupa... Dogo kafa na maumivu makali sana.. Leo imekuwa siku ya hovyo maana kipindi yupo na hicho kidemu mala kibao dogo alikuwa anakuja nako cinema pale twapiga story. dah inauma sanaa
Anyway lkn sioni km P.Tony ana kosa hapa
Huyu ni mshirika wa Mtalemwa wa makongo juu pale ....