TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

JAmaa alimpenda sana yule dada, na yule mwanamke akalijua hilo alimnyosha sana mwamba hadi mitandaoni. Mtoto mdogo hivi presha za nini? Eti kulia hupunguza maumivu, huyu jamaa kuangusha chozi ilikuwa dk sifuri ila bado akapata presha.
Mshkaji alichoka sana, nadhani lile tukio lilimletea trauma kubwa.
Some of us ni manunda , some of us hatuna ustahimiliv ni Mungu tu atuvushe salama

Ila all in all RIP, now he can rest
 
Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025.

Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikwa na mauti.

Global TV imezungumza na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya General, Dodoma, Ernest Ibenzi ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa MC Pilipili amefikishwa hospitalini hapo akiwa tayari amefariki dunia.


View attachment 3502851

Source: Global TV Online
Wengine hatumjui ndio nani
 
Hii kitu imeangamiza wanaume wengi sana. Nimemkumbuka yule kijana wa Mwakasege. Naye aliondoka sababu ya kupenda na kujitoa sana sehemu ambayo siyo sahihi. Mungu na Atusaidie wanaume 🙏🏿
Vile jamii haidhamini mchango wa mwanaume. Ni vema kukawa na society ya kuinua men. Tunapitia alot
 
Ndio na siku ya ndoa bwana harusi alilia machozi ya furaha.

Pia Mc Pilipili ndo alikua mwanaume wa kwanza wa Nandy
Ah kama alilia kwa furaha bc huyu alinyooshwa sana huko nyuma na huyo mwanamke, hvy kufunga nae ndoa akaona kama vile amemuweza hvy hatoweza kutoka nje ya ndoa 😂
 
Ila kifoo! Mtu upo zako unacheka kumbe umebakisha dk 2 ufe😔
Anatokea raia mwema kwa utani anakugusa bega, unaanguka unakufa.

Tukio linatokea right on time.

Jamaa anaenda jela kimasihara kuwa ameua Kumbe tuu n mtu alikuwa kwenye dakika zake za jioooooooni 😂
 
Anatokea raia mwema kwa utani anakugusa bega, unaanguka unakufa.

Tukio linatokea right on time.

Jamaa anaenda jela kimasihara kuwa ameua Kumbe tuu n mtu alikuwa kwenye dakika zake za jioooooooni 😂
Kama hapa shuzi linamnukia mke wa Pilipili, kumbe siku zake zilifika
 
Back
Top Bottom