Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,135
Kwa kweli.Presha ni janga,tuepuke vyakula vya ovyo, tufanye mazoezi
Amna mzeeso huyo demu anakuita shosti je wewe ni mboga?
Wangapi wanakufa ikiwa hawajafikisha hy 70?Ndo maana nimesema bado mdogo sana
Wacha basi 🥲Chanzo ni presha ya ghafla,
Jamanii Ndoa hizi, woiiiiiiiiih!!
RIP MC pilipili. 😢😢😭😭View attachment 3502848
Ila Waja, sijui kwanini mnashikilia vitu vudogo km hivi?so huyo demu anakuita shosti je wewe ni mboga?
Haujaiona picha ya pili hapo juu?Afe tu maana hakusimama upande wowote ule
Kweli tenaa!"Wacha basi 🥲
Hahaha...watu mpo serious..umeona ujibu kabisaAmna mzee
Kwamba alikuwa anachunwa tuu lkn hata kumwagia ndani alikatazwa? 😂R.I.P hivi alibahatika kupata mtoto kwa ile K?
Ata ningekaa kimya mzee kisinge badirika kituHahaha...watu mpo serious..umeona ujibu kabisa
Kuna wakati vijana kataa ndoa nawaelewa. Homa ya mapenzi ni mbaya sana.Chanzo ni presha ya ghafla,
Jamanii Ndoa hizi, woiiiiiiiiih!!
RIP MC pilipili. 😢😢😭😭View attachment 3502848
Kiukweli toka aachwe na yule mkewe, MC hakua sawa, nishawahi kuwa nae karibu ktk event fulani hivi, the way alivyokua ana act, ni km mwenye depression, yaan sijui nisemeje.N kvp ndoa imekuwa chanzo cha kifo chake?
Kwamba ndoa yake ilikuwa hatari kiasi hiko bila yeye kujua mpaka kufikia hapa tulipo?