TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

Itategemea kaondokaje!
Ah kwa style yoyote ile poa tuu.

Umri huo huwezi kufa kifo cha kushangaza, n ile mmelala mmeamka mnakuta Yeye bado amelala 😎

Au anajisikia vibaya mnafika hospital mnauguza siku mbili tatu, anasepa.
Au mpo njiani kwenda hosp mnafika mnaambiwa ameshalala mbeleeeeee
 
Weeh! Hujui kuna hadi vikongwe walipitiwa tar 29? Unaachaje kulia
 
Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025.

Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikwa na mauti.

Global TV imezungumza na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya General, Dodoma, Ernest Ibenzi ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa MC Pilipili amefikishwa hospitalini hapo akiwa tayari amefariki dunia.

View attachment 3502851

Source: Global TV Online
Rip
 
Back
Top Bottom