Akifa mwanachama yeyote wa ccm huwa hata sihuzuniki..
Tupende kwa kiasiUkweli nimerudi nyuma sanaaa kwenye mapenzi, na hili la kifo cha huyu jamaa. Imeniuma sana dogo alikuwa anatamba na demu wake ambae kamtupa, night anakuja nae pale movie M.city yaani.. alafu leo hii huyo huyo alie kuwa anatamba nae ndio kasababisha avute kamba kindezi kabisa.. hiii bagoshaaa, nitaendelea kununua tu
Na ambao hawaiamini hy Biblia?umri wa kibiblia miaka 80
Uko sahihiNaona watu wanamlaumu mke wa marehemu bila kujua chanzo
Tangu wameachana, dada hajawahi kufunguka kitu chochote kuhusu ndoa yao
Unadhani marehemu alikuwa mkamilifu?
Kuna mengi sana huyu dada akiamua kuongea mtabaki midomo wazi. Hata kifo cha marehemu nacho ni utata mtupu, ni basi tu marehemu hasemwi vibaya wacha apumzike alipopaandaa
Naona watu wanamlaumu mke wa marehemu bila kujua chanzo
Tangu wameachana, dada hajawahi kufunguka kitu chochote kuhusu ndoa yao
Unadhani marehemu alikuwa mkamilifu?
Kuna mengi sana huyu dada akiamua kuongea mtabaki midomo wazi. Hata kifo cha marehemu nacho ni utata mtupu, ni basi tu marehemu hasemwi vibaya wacha apumzike alipopaandaa
Sorry, mtu mwenye sonona unamjuaje?Huyu mwamba japo alikuwa anaact kucheka usoni ila alikuwa anaonekana ana.sonona sana hasa kumpoteza yule mwanamke na mama yake pia
Za chini chini inasemekana yule mke wake baada ya kuachana now anamimba kubwa na ya mtu mwingine so huwez jua kapata mshtuko ogopa mpenzi
Sio simpWewe siyo simp??
Naikia wana tupiga na limbwata, hata ukipenda kiasi inakuwa kazi bure, maana mwenzako anakuwekea booster kwenye hako ka upendo kako ka kiasiTupende kwa kiasi
Anakubustisha 😂Naikia wana tupiga na limbwata, hata ukipenda kiasi inakuwa kazi bure, maana mwenzako anakuwekea booster kwenye hako ka upendo kako ka kiasi
hapana ni shoga sema ana pgo za kike kuzd hata wanawake wenyewe uandsh wake lazma useme ni mwanamke ila ni choko kama anabisha mfate dm muombe muonane uone. Na ujue mashoga wanapendaga sn waonekane kama wanawake na watambulike kama wanawake sema nature inawakataa hata wakiwekewa jinsi bandia bdo kuna pgo za kike hawaziwez znawakataa kbs.Duh mimi najuaga ni mwanamke
amefariki dunia ghafla mchana leo
Wanasema ameuawaNaona watu wanamlaumu mke wa marehemu bila kujua chanzo
Tangu wameachana, dada hajawahi kufunguka kitu chochote kuhusu ndoa yao
Unadhani marehemu alikuwa mkamilifu?
Kuna mengi sana huyu dada akiamua kuongea mtabaki midomo wazi. Hata kifo cha marehemu nacho ni utata mtupu, ni basi tu marehemu hasemwi vibaya wacha apumzike alipopaandaa
Roho ya mauti imeinuka sana 😢Wanasema ameuawa