Representing the Mambo is the ninth studio album by the American rock band Little Feat, released in 1990. It peaked at No. 45 on the Billboard 200 and was supported by a North American tour. "Texas Twister" and "Rad Gumbo" were released as singles.
Ujamaa uko wapi Tanzania ? Kuna sera gani ya maana ya kijamaa Tanzania ya kunufaisha raia wote??
CCM acheni utapeli kusema sisi ni nchi ya kijamaa na mmeandika hivyo kabisa katika katiba yenu wakati hata huduma ya afya sio bure kama ilivyo kwenye nchi nyingi za kibepari kama Canada, Scandinavia...
Biashara ya vinywaji kwa jumla inaweza kuwa chanzo kizuri cha mapato, lakini mafanikio yake hayategemei kuwa na mtaji pekee. Yanahitaji uelewa wa soko, usimamizi mzuri wa fedha, mahusiano imara na wateja pamoja na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi ya kibiashara.
1. Chagua eneo lenye soko la...
1. Usisafishe mikono yako kwa asali na chumvi dakika chache kabla ya mtoko wa kimapenzi (date),
Chumvi huondoa uzito wa siku nzima kwenye ngozi yako, na asali huacha utamu ambao watu wataugundua hata wakiwa mbali kidogo nnawe
2. Ili uache kumlilia mtu asiyekulilia, chukua chembe moja ya...
Ni muda mrefu naona watu maeneo mbali mbali mtandaoni wako serious na haya mambo kuliko miaka ya nyuma.Nadhani ukuaji wa Technology umechangia,watu wanasoma na kufuatilia tabiri viganjani mwao tofauti na enzi hizo unazikuta kwenye magazeti ama umfuate sheikh/maalim magomeni🙃
Imefikia hatua hata...
Kwani hii nchi tumerogwa na nani wakuu? Hivi unaweza kusomea udobi halafu ukaajairiwa kama Daktari?
Kwamba wabunge wote hakuna hata mmoja mwenye ujuzi na sheria apewe wizara?
Haya bwana
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega amesema yuko tayari kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu wizara...
ANADANGANYA kusema kwamba tatizo ni Sheria ya Bunge ,kwamba yeye hawezi ifuta.
Tatizo wala sio Sheria ya usalama Barabarani ,Sheria ipo wazi kabisa,Sheria ya usalama Barabarani (Road Traffic Act ) Sura No.168 toleo la 2023 kifungu cha 31(1) kinasema hivi ,
" For the purpose of ensuring...
Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What actually is a spirit? Maana hata hizo atoms,protons, neutrons na subatomic particles hatizioni kwa...
Kila nikijiunga data wanaamua ni kiasi gani cha data wakifanye kiwe cha Whatsapp.
Kwangu naona haiko sawa, ilitakiwa waniulize mimi ndiyo niamue ni kiasi gani nikipeleke huko. Mara nyingi nimeona kifurushi kinaexpire bado nikingali na MB nyingi.
Mambo ya kuepuka kama baba wa familia
Siku moja tukiwa kazini tunaendelea na majukumu, nikapokea simu ya rafiki yangu akiomba ruhusa kwa bosi ya kutokufika ofisini kutokana na changamoto za kiafaya, mie nikatimiza wajibu wangu na nikawa naendelea na ratiba zangu, nikiwa naenedelea na kazi zangu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
afrika
afrika mashariki
balozi
katibu
katibu mkuu
mahmoud thabit kombo
mambomamboyamamboya nje
mashariki
mkuu
nje
thabit kombo
ushirikiano
ushirikiano wa afrika mashariki
waziri
HUYU ni wazuri Gani huyu? Kuna mawaziri wengine wa nchi nyingine wanafanya kazi iliyotukuka...nani anamjua wazuri wa mambo ya ndani wa Rwanda? Au south Africa? Au Botswana?
HUYU waziri wenu Niko hapa nasema ni Kichekesho sijawah kuona. Hivi hii nchi Ina laana ama imelogwa? Ni uchawi Gani...
Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho.
Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida.
Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
Familia ambayo nilitokea haikuwa ni familia yenye uwezo, nakumbuka baba yangu alistaafu akiwa na miaka 40s na kipindi hicho nilikuwa mtoto wa miaka 10 hivi.
Maisha hayakuwa rahisi kipindi hicho mama alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mtu binafsi, kwa kweli tulipitia kipindi kigumu cha...
Yaani Wafrika kwa kujali matumbo yao na maslahi yao ni noma.
Mtu anashikiwa chuma kisa tu maslahi yao yabaki kuwa salama.
Afrika sio mahala salama pa kuishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.