Mafunzo yote ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 595
- 902
ni kawaida mtu anyejua mnamuita mjuaji๐๐๐๐๐
Kwamba wee unamfahamu kuliko mie au?
Haya nikuachie wee mjuajii.
ni kawaida mtu anyejua mnamuita mjuaji๐๐๐๐๐
Kwamba wee unamfahamu kuliko mie au?
Haya nikuachie wee mjuajii.
Hii kitu imeangamiza wanaume wengi sana. Nimemkumbuka yule kijana wa Mwakasege. Naye aliondoka sababu ya kupenda na kujitoa sana sehemu ambayo siyo sahihi. Mungu na Atusaidie wanaume ๐๐ฟTujifunze kupenda kwa kiasi, kupenda sana na kuweka matarajio makubwa kunaumiza mno hasa unapopenda sehemu isiyo sahihi.
Swadaktaaaaaa!!!Yah, kuna namna naweza kukuelewa na kuwaelewa wale wanaoteswa na wanawake/ndoa mana hata mm kuna namna nilishawahi kupitia humo japokuwa haikuwa ndoa.
Tujifunze kupenda kwa kiasi, kupenda sana na kuweka matarajio makubwa kunaumiza mno hasa unapopenda sehemu isiyo sahihi.
kifo ni human nature , materils things sio legacy ila kuifanya dunia kuwa bora zaidi ya ulivyoikuta hiyo ndo legacy .Hakuna mtu yuko USELESS wewe, tatizo mko material oriented....Binadamu yoyote ana maana - itategemea unaangalia katika angle ipi.
Unafikiri wenye ndugu vichaa wanatamani WAFE sio??
Sawaa mkuu.ni kawaida mtu anyejua mnamuita mjuaji
Yan Mkuu, mm mwnyw kuna mahali nilikuwa nalia sana ila nashukuru Mungu nimebaki salama baada ya kukubali kuwa hakuwa kwa ajili yangu.Hii kitu imeangamiza wanaume wengi sana. Nimemkumbuka yule kijana wa Mwakasege. Naye aliondoka sababu ya kupenda na kujitoa sana sehemu ambayo siyo sahihi. Mungu na Atusaidie wanaume ๐๐ฟ
Shida inayo tokea mwanaume ukiwa sio malaya uta teswa sana na mapenzi mwanamke ana kuona huna kwakwenda ushawai sikia mwanaume malaya ana teseka na mapenziYah, kuna namna naweza kukuelewa na kuwaelewa wale wanaoteswa na wanawake/ndoa mana hata mm kuna namna nilishawahi kupitia humo japokuwa haikuwa ndoa.
Tujifunze kupenda kwa kiasi, kupenda sana na kuweka matarajio makubwa kunaumiza mno hasa unapopenda sehemu isiyo sahihi.
Ndo ukaamua uwe mpiga nyeto mwandamizi.Yan Mkuu, mm mwnyw kuna mahali nilikuwa nalia sana ila nashukuru Mungu nimebaki salama baada ya kukubali kuwa hakuwa kwa ajili yangu.
Yn ukiona kwenye mapenzi unatumia nguvu nyingi kulinda penzi bc ujue hapo ndipo kifo chako kilipopangwa.
Nme screen shot hii comment Bora zaidi kuziona kwenye maisha yangYan Mkuu, mm mwnyw kuna mahali nilikuwa nalia sana ila nashukuru Mungu nimebaki salama baada ya kukubali kuwa hakuwa kwa ajili yangu.
Yn ukiona kwenye mapenzi unatumia nguvu nyingi kulinda penzi bc ujue hapo ndipo kifo chako kilipopangwa.
Kwenye hili ngoja ninyamaze tuu ๐Ndo ukaamua uwe mpiga nyeto mwandamizi.
๐๐๐๐