mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 240
- 190
kukaa kimya pia ni hekima.
Kumbe anaumwa halafu tukadanganywa kuwa ni mzima wa afya na anachapa kazi?!🤔🤔🤔Mh Rais magufuli sio kila anaekukosoa anakuchukia hivyo tunakuombea upone haraka uje ulisimamie taifa.
Hata hajui anachosemaTena anastahili pingu
Hivi zile punch za Mlimani ziliishiaga na ile ya Mwinyi au ?1. Whistleblower
2. Spy
3. IT Guru
4. Critical Thinker
5. Philosopher
6. Intelligent Person
7. Religious Creature
Duh.......!Ni wakati sasa hao wote waachiwe huru na walipwe fidia.
Vipi mkuu sheria si ipo! AuDuh.......!
Fidia?!!
Vipi bado anachapa kazi kama kawaida?Raisi wetu nimzima kabsa Huyo kanjanja ataingia mkononi mwa serekali tu
Yupo chattle anachapwa saivVipi bado anachapa kazi kama kawaida?
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.
Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita Kigogo katika mtandao wa Twitter, kwa tuhuma za kuzusha hofu na uongo kwamba Rais John Magufuli anaumwa.
"Rais yupo buheri wa afya na anachapa kazi"-Majaliwa
Hivi huyu alitiwa mbaroni kwa uwongo huu?🤔🤔🤔