Alishawaingiza Chaka kwa mpango Samia, Bilal, kipilimba n.k lakini Bado mpo tu. Ila na yeye namsifu kwa kuwakamata mazuzu
 
"Rais yupo buheri wa afya na anachapa kazi"-Majaliwa

Hivi huyu alitiwa mbaroni kwa uwongo huu?🤔🤔🤔
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Eti uzushi! Hahahahahahaha
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.

Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita Kigogo katika mtandao wa Twitter, kwa tuhuma za kuzusha hofu na uongo kwamba Rais John Magufuli anaumwa.

 
1617978606850.jpeg

"Rais yupo buheri wa afya na anachapa kazi"-Majaliwa


Hivi huyu alitiwa mbaroni kwa uwongo huu?🤔🤔🤔
 
Kanisa katoliki linakabiliwa na kesi mbalimbali huko Duniani na limekua likikubali kumalizana na washitaki wake kwa kulipa fidia.

Huko New Jersey Marekani, Kanisa katoliki limekubali kuwalipa fidia waathirika wa ulawiti wa mapadri na maaskofu zaidi ya Dollar Millioni 87 ili kumalizana nao.

Swali, je waumini tuendelee kutoa michango na sadaka kulipia mapadri na maaskofu wanaolawiti watoto wetu na ndugu zetu?


===

Kiongozi Mkuu wa kanisa la Katoliki New Jersey, Dennis J. Sullivan alithibitisha Aprili 19, 2022 kuwa anatanguliza pole na kuomba msamaha kwa waathirika waliofanyiwa vitendo vya ulawiti hapo kanisani na kuahidi kulipa fidia Zaidi dola za kimarekani milioni 87.5 ni Zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwa wahanga wote.

Makubaliano hayo yametokea baada ya miaka mitatu kupita ambapo idadi kubwa ya waumini walilawitiwa na kudharirishwa ambapo ni kesi Zaidi ya mia tatu ziliripotiwa kutokana na kanisa hilo ambapo baadhi ya watumishi 56 walihusishwa na ukatili huo. Pia takribani watumishi 200 katika mji wa New Jersey wameshtakiwa kutokana na ukatili huo.

Pesa hizo zitatolewa kwa kila mmoja ambapo mtu mmoja atapewa dola laki tatu pia itawekwa sheria kubwa ya kuwalinda Watoto kutokana kuwa ndio wahanga wakubwa
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom