Matumizi ya simu katika Mahusiano

kama mnashirikiana mpaka mate na baioloji , kwanini mshindwe kushirikiana simu?, aaaaargh kuna samthing bihaind the scene. mimi simu langu hata jirani namuachia , i hev nathing tu warri.

hahahah nimeipenda hii wewe dawa ya maralia

mesenja kaleta balaa nyumbani kwa boss
 
unataka mpaka ushuhudie mwenyewe kwa mimacho yako miwili! mweh! utajining'iniza buree?
 
unataka mpaka ushuhudie mwenyewe kwa mimacho yako miwili! mweh! utajining'iniza buree?

Bwana Zegere kila mtu anamjua mtu wake, so kama hana tabia hiyo hakuna haja ya mtu kushoboka bureee
 
Bwana Zegere kila mtu anamjua mtu wake, so kama hana tabia hiyo hakuna haja ya mtu kushoboka bureee

Na hii ndio inayonifanyaga nijisikie vibaya sana pale mwenzangu anapokazana kunishuku ndivyo sivyo ahgrrrrrrr
 
simu ni noma sana...
juzi nilibanwa konani mpaka nikabadilisha namba....
nikiongea na watu wengine tu ni kosa 'darling unaongea na nani' etc
oooh darling kila wakati unaongea na watu ni akina nani hao?
Taabu kweli kweli...
 
sasa si umwambie hao ni akina nani? au ndio unamzunguka mwenzio? hii tabia ya kutoka nje ya ndoa itaisha kweli? mbona mnatutisha sie tuliokuwa bado? tutaoa kweli? ni bora nizae nae tu nilee mtoto,kwishnei
 
Imewahi kukutokea hii,
Unachukua simu yako, unaandika sms ili uweze kuituma kwa nyumba ndogo/GF au mwanaume wako wa pembeni tofauti na mmeo/BF!sms hiyo umeiandika kwa maneno matamu na yenye ladha ya kimapenzi kabisa pengine hata mkeo/mmeo hujawahi kumwambia hivyo! Hamad! unajikuta sms inakwenda kwa mkeo/mmeo/BF au GF.

Jamani,wana JF hapo utachukua hatua gani?

Yaliyojadiliwa katika huu uzi:-

Mpenzi wangu anazima simu anapokuwa na mimi,akitoka anawasha.kibaya zaid ina password.

Mamboz wana JF??

Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!

Utachukua uamuzi gani??!!

Dear Hny
sorry leo sitoweza kuja niko kwenye period jamani alafu si unajua na hasira zangu sijui hata kutakalika nikija
mbona ukunjulisha mapema kabla ya kuchukua chumba..sorry again
luv u

WanaJF natumai mko poa….
Mara ngapi hutokea wewe ukazima simu au kudelete namba ya mwenzi wako pindi mnapokosa maelewano? kudelete namba etc na jee njia hiyo inasaidia kuondoa tatizo?
nawasilisha

Ndugu wadau,
Nawaomba mchangie hoja. Je ni ruhusa mke au mme kuangalia msg au kupokea simu ya mwenza wake. maana wakichunguza inaweza leta hisia hata ambazo hazipo, lakini pia kuto angalia mmoja anaweza kukosa imani na mwenzie.

tujadili

haijawahi kunitokea..."utachukua hatua gani?"...jibu litapatikana pindi itaponitokea maana hatushauriwi kitaalamu kutafuta majibu ya tatizo kabla ya kupata tatizo lenyewe...naaamini nimeeleweka
 
ikikutokea jua ni mipango ya shetani kukuumbua mbele ya muumba wako ili ajue how immoral u are
 
Simple: Haraka haraka andika meseji hii: Mbona nimekutumia meseji tamu ya mapenzi halafu husemi japo ahsante. Au hujaamini naweza kukutumia meseji tamu namna hiyo?:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Simple: Haraka haraka andika meseji hii: Mbona nimekutumia meseji tamu ya mapenzi halafu husemi japo ahsante. Au hujaamini naweza kukutumia meseji tamu namna hiyo?:smile-big::smile-big::smile-big:

Ole wako kama ulimtaja uliyepania kumtumia kwa jina...? Hahahaha.....!
 
Iliishawahi kunitokea nikazima simu fasta fasta na kuchomoa betri ile tu narudisha betri na kuiwasha tena inakuja message inasema MESSAGE DELIVERED duh nilikuwa sina hamu kabisa.
 
Ole wako kama ulimtaja uliyepania kumtumia kwa jina...? Hahahaha.....!
Kama ulimtaja jina unaandika meseji hii: Au umeshangaa nimetumia hilo jina? Hizi tamthilia bana, dah! Asha ni yule demu mkali kwenye tamsilia ya hidden passion! nimekufananisha naye honey, au hupendi? samahani kama nimekukwaza...
 
Nitaitupa simu halafu nitasema imeibiwa nikiwa kwenye daladala au bar nikiwa bia ya kumi na nane
 
Kama ulimtaja jina unaandika meseji hii: Au umeshangaa nimetumia hilo jina? Hizi tamthilia bana, dah! Asha ni yule demu mkali kwenye tamsilia ya hidden passion! nimekufananisha naye honey, au hupendi? samahani kama nimekukwaza...

kumbe dada zetu ndo huwa wanadanganyika kwa wepesi hivi!!!!!!!!!
 
Iliishawahi kunitokea nikazima simu fasta fasta na kuchomoa betri ile tu narudisha betri na kuiwasha tena inakuja message inasema MESSAGE DELIVERED duh nilikuwa sina hamu kabisa.

sasa mpwa yaliishaje baada ya message kuwa delivered???????
 
cjawahi kumbana na hilo kashikashi, lakini kama ikatokea mr akanitumia msg ya utata hivyo kwa kweli anahitaji kutumia akili zake za ziada kunieleza kulikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…