Status
Not open for further replies.
Maduka ya dora..............
 
Umeanza uchochezi, ngoja waje
 
"Maduka ya dora " ndiyo nini?
 
Mh.Rais unaombwa usikie kilio cha Wastaafu wako.Kiwango cha Asilimia 25 ni kidogo sana hata kujenga au kununua nyumba.Wastaafu wengi hutegemea Mafao yao ya Mkupuo kujenga au kununua Nyumba hivyo asilimia 25 ni kiwango kidogo sana wataziacha familia zao kwenye nyumba za kupanga pindi watakapotangulia mbele za Haki.
 
 
 
 
simple as that
 
Hapo vip!!

Katika hawamu hii, hawajafanikiwa kuleta na kufanya mpango wa maendeleo inayogusa nchi nzima bali ni hizi program ndogo zinazogusa ukanda fulani, mfano ununuzi wa ndege inamsadiaje mtu wa nachingweya mtwara, au treni ya umeme kutoka dar kwenda mwanza inamsadiaje mtu wa Oldadai -Arusha.

Mfano kipindi cha Kikwete ulianzishwa mpango wa shule za Kata Tanzania nzima na niwazi huu mpango imewagusa na kuwasaidia watanzania wengi katika kila kona ya Nchi.

Pili Kikwete alifanya mpango wa kujenga barabara za lami Nchi nzima na mpango huu imemgusa na kuwasaidia watanzania wote.

Mimi tokea uingie madarakani bado sijaona mpango uliokuja nao Kwa lengo la kuwasaidia watanzania au kuibadisha Tanzania Kwa ujumla, hizi Sijui treni za umeme na ununuzi wa ndege ni projects ndogo ndogo sana.

Hivi washauri wa rais Kwa nini msimshauri vizuri katika eneo la uchumi , mkaacha kumuogopa, Kwanini yeye ni Mungu bhana.

Hivi viprojects vidogo vidogo anavyofanya ni za level za mawaziri na wabunge.
 
Maji ambalo ni hitaji muhimu kwa uhai wa binadamu ni issue Tanzania karibu yote. Wakati wa kiangazi wenye nguvu hupata rizki kwa kuchotea maji wale wasio na nguvu au wenye u shuleni wa maisha.

Pesa inayotumika kugharamia maji ingeweza kuboresha makazi na kudhibiti wadudu kama mbu, tungedhibiti malaria.

Ulizia pesa ya budget ma maji mwaka huu wa fedha iliyofika Wizara ya maji.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…