Status
Not open for further replies.
Niende kwenye mada!

Kwanza nampongeza Mh Rais wetu mpendwa kwa kuamua kulitumia Jeshi letu la wananchi katika mambo mbalimbali yanayoendelea nchini!

Kitendo hiki,kinatoa funzo kwa watanzania kuwa kazi ya Jeshi letu sio moja tu ya kulinda amani hata shughuli nyingine wanaweza kuzifanya vyema.

Binafsi lazma niwe mkweli katika matumizi ya jeshi,lazma tukubaliane kuwa katika vyombo vyetu vya ulinzi,kulikuweko na myumbo mkubwa wa maadili ya utumishi wa umma!

Nchi ilibakia na Jeshi tu ndo ambalo walau bado kulikuwa na kiwango kikubwa cha maadili,nasema hivyo wengi tutakiwa mashahidi wazuri rasrimali nyingi za nchi zmeibwa mnoooo katika nchi hii,mikataba mingi ya ovyo imesaini wa katika nchi hii,
Na wakat mikataba inasaiiniwa, vyombo kama takukuru na usalama wa taifa walikuwepo!.

Leo hii hainingiii akilini uniambie heti tumtumie polisi aende na TRA kwenda kukagua duka la dora aise kitakachotokea ni aibu!

Walisha tumika sanaaa na kuishia kula rushwa sasa ni wakati wa kurudisha nidhamu ya nchi kupitia jeshi letu!

Bravooooooo,kwa kuwatumia kwenye korosho,bravo kujenga ukuta wa tanzanite,bravooooo kwenye maduka ya dora tutanyoooka tu.
Maduka ya dora..............:cool:
 
Umeanza uchochezi, ngoja waje
 
"Maduka ya dora " ndiyo nini?
 
Mh.Rais unaombwa usikie kilio cha Wastaafu wako.Kiwango cha Asilimia 25 ni kidogo sana hata kujenga au kununua nyumba.Wastaafu wengi hutegemea Mafao yao ya Mkupuo kujenga au kununua Nyumba hivyo asilimia 25 ni kiwango kidogo sana wataziacha familia zao kwenye nyumba za kupanga pindi watakapotangulia mbele za Haki.
 
Huyu Mkuu wa Wilaya alistahili kuwa mkuu wa mko. Watu kama hawa wanawapa akina mama na akina baba faraja kubwa za maisha kiasi kwamba jamii nzima ina kuwa na amani na upendo kwa sesikali yao na wenyewe kwa wenyewe.

Watu kama hawa kuwa kwao madarakani wanasaidia sana watoto wanao kua katika familia zisizo kuwa na stress, kuwa na maendeleo mazuri shuleni na hata kwenye utendaji wa kazi baadae.

Tukubali au tukatae wewe ndiye Rais wa JMT, Hatutaki kukushauri bali twaomba utusikize, hali mtaani ni mbaya mno, kwa kuwa hali ni mbaya mno wewe huwezi pata kodi za kutimiza malengo yako ukubali ukatae wafanyabiashara wadogo na wakati ndio wanaolioa kodi kubwa kwa serikali yako hawa wote wanalia biashara mbaya na nyingi zimekufa hivyo hawawezi kulipa kodi, na siwezi kulipa kodi ikiwa hela ya kula nyumbani au ya kumplipia ada mtoto hakuna nitalipa ada ndio nifikirie kodi.

Pia muheshimiwa Rais ikiwa biashara ndogo zinakufa maana yake wafanyabiashara wakubwa na viwanda unavyovikazania pia vitakufa kwa kukosa wateja kwa kuwa wateja wa wafanyibiashara wakubwa ni wafanyabiashara wadogo na wateja wa viwanda ni wafanyabiashara wakubwa, kwa hiyo ikiwa hupati kodi kwa wafanyiabishara wadogo ni suala la muda tu kuwa utakosa na wafanyabishara wakubwa na viwanda.
Washwahili walisema kuteleza si kuanguka angalia upya wapi ulijikwaa pia punguza kasi baba kwani mwenda pole hajikwai.
Ni hayo tu
 
Na Thadei Ole Mushi.

Nasikia Dr Mpango huko bungeni kakubali kuwa uchumi umedorora kutokana na ukusanyaji wa Kodi kuwa mdogo. Huyu aliyekiri hivi ni waziri wa Fedha hivyo sina mashaka na chanzo chake cha Takwimu.

Haya Dr Mpango anayoyaeleza Leo binafsi niliwahi kuyafafanua hapa kipindi cha nyuma na kuhoji Washauri wa Rais katika maswala ya kiuchumi ni akina nani? Niliandika October 2017 kuwa:-

#Kila siku ikitoka ripoti ya utafiti kuhusu magonjwa ya akili lazma Tanzania iongeze asilimia zaidi ya jana na juzi. Tafiti zimekuwa zikitoka kila siku kuwa watanzania mara wana uwezo mdogo wa kufikiri, mara kila penye watanzania wanne mmoja wao ni kichaa, Mara Tanzania yaingia Kumi bora kwa raia wake kukosa raha yaan wanaishi kwa masikitiko nk.

#Haya ni magonjwa ambayo hushughulikiwa kisaikolojia zaidi kuliko kudungwa sindano au kupewa dawa. Yaani Tiba yake ni ya Kisaikolojia wakikupiga Sindano wanataka tu ulale usiwasumbue.

#Kama watanzania watapata mahitaji yao yote ya msingi inawezekana matatizo haya yakapungua kwa kiasi kikubwa.

Mwanasaikolojia Abraham Maslow aliwahi kutoa nadharia ya kinachoweza kummotivate mtu, katika nadahria yake hiyo (hierarchy theory) anadai mahitaji ya msingi ya mtu kwanza ni Psychological needs yaani mtu apate chakula kizuri, alale pazuri, apate maji nk ndio anaweza kufikiria mambo mengine.

Kwa hiyo kusononeka huko kwa watanzania kunaweza kuondolewa kwa kupata mahitaji hayo..... Hii ina Maana hata kama tutakimbizana na miradi mikubwa kama ya reli, fly over na Ununuzi wa ndege bado kama RAIA hawatapata mahitaji ya Msingi wataendelea kunungunika tu.

#WATAALAMU WA UCHUMI WANAWEZA KUWA TIBA YETU YA KWANZA.

#Watanzania kwa sasa hasa vijana ambao ni asilimia 35 ya watanzania wote ukiwauliza wanahitaji nini wengi watakuambia ni ajira yenye uhakika. Ukichukua asilimia 35 ya vijana wote wa Tanzania kwa mujibu wa sensa ya 2012 ni sawa na vijana 15, 750,000. Idadi hii haiwezi kuajiriwa hata nusu yake na Serikali. Hapo hatujagusa watu wazima ambao ni asilima 21 ya watanzania wote, hapo hatujagusa waliovuka umri wa utoto na kuwa vijana kwa kuwa sensa hii ilifanyika 2012.

#Kitu pekee ambacho kingeweza kutusaidia hapa ni Sector binafsi. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda Tanzania Sector Binafsi inazotota siku hadi siku.

#Tanzania kuna Jumla ya makampuni makubwa ambayo ni (Corporate) 37 tu haya ni yale yenye mtaji mkubwa wa kuanzia bilioni 1 na kuendelea. Haya ndiyo yenye uhakika wa kutoa ajira. Kati ya hayo 8 ni ya Serikali na moja halifanyi kazi (eagle air) kwa hiyo yanabakia 28 tu ndiyo yanayoweza kuajiri watu zaidi ya elfu moja na kuwapa mikataba ya kazi haya mengine hayana uwezo huo. Pitia Link ifuatayo kuyaona makampuni hayo.

List of companies of Tanzania - Wikipedia

#Utafiti uliofanywa na Baclays bank 2012 unaonyesha kuwa kwa wakati ule Tanzania ilikuwa na makampuni haya makubwa 18 tu hii ni kabla ya kuja kina Dangote na wengineo. Wakati kwa Wenzetu Kenya makampuni makubwa kama hayo (Corporate) yalikuwa 500 unaweza kuona namna wenzetu walivyowekeza vizuri kwenye Sector binafsi.

#Kama hatutaangalia kwa mapana Sector hii binafsi huko mbeleni tutakuwa na tatizo kubwa mara Dufu la ajira. Serikali nayo itaparalyse kiuchumi. Makampuni haya ndio walipa kodi wakuu wa nchi hii na kama watatusaidia kuajiri maana yake wananchi nao watalipa kodi na mzunguko wa hela utakuwa mkubwa.

#NINI KIFANYIKE.

#Serikali isiwaze kwanza Kodi kubwa kwenye makampuni haya ila yawawezeshe ili yaweze kujiendesha.

#Serikali iwatambue wafanyabishara na wajasiriamali wa kati (SME) na itengeneze sera nzuri za kuwafanya wafikie kuwa makampuni makubwa.

#Kwa sasa inaonekana kama kuna vita kati ya Serikali na Wafanyabiashara yaani kila wakitaka kuibuka wanawatwanga Kodi wanafia hapo hapo na wanarudi mtaani.

#Serikali Isimhukumu mtu mwenye pesa nyingi kuwa ni Fisadi bali atengenezewe mazingira ya namna ya kumkuza ili watanzania wengine waajirike.

#Serikali isiache kuendelea kufanya biashara na Sector binafsi. Kwa mfano kitendo cha kutumia Jeshi kusambaza madawa na vifaa vya maabara wangeliweza kuwapa sector binafsi kufanya hivyo ili mzunguko wa hela uwafikie Raia.

#Kuna viashiria vya watu kuficha fedha mfano mabenki yanapofanya mnada kwa sasa watu wanashindwa kununua mali hizo. Hata nyumba za Lugumi kukosa wateja ni kiashiria cha kwamba matajiri wanaficha fedha zao. Serikali iangalie ninmazingira gani yanafanyike ili watu watumie fedha.

#Mzunguko wa Dola ni mkubwa kuliko Shilingi yetu ya ndani. Katika maduka ya kubadilishia fedha kuna tetesi dola ndio nyingi kuliko Shilingi yetu..... yaani ni maduka machache sana unaweza kupata milioni 100 kwa wakati mmoja kwa maana hiyo fedha hazipo kwenye mzunguko.

Kwa ufahamu huu mdogo wa kiuchumi wachumi wetu wanaofanya kazi kwa niaba ya Rais wanaweza kufanya mambo na magonjwa haya ya akili yakapungua.

LEO NOVEMBER 2018.

Kuna mambo ambayo bado yanafanyika yatakayotupunguzia Fedha za Kodi. Mfano kitendo cha kutekwa kwa Mo na watu wasiojulikana kimetafsiriwa kama kuwadisturb wafanyabiashara wakubwa ambao ndio walipa kodi wakubwa. Hili Litatuathiri baadaye.......

Operation tunazoziendesha kabla ya kuziendesha tuangalie Mikataba ya Kinataifa inasemaje. Naona aibu Kubwa kwa Waziri wangu kujitokeza Hadharani na Kusema kuwa anawalinda Mashoga.

Lazma waziri aaibike kwa kuwa anataka kuzilinda asilimia 40 za fedha ya budget toka njee. Kwa maana hiyo tunapotaka kufanya kitu lazma tufikiri kwa kina sana.

Siasa iliyoingia kwenye maswala nyeti kama ya Korosho nayo tukicheza yatatuumiza Mbeleni kiuchumi na Kisiasa.

Tukishafanya Matanga ya Mbaazi na kuna mtu aliwaambia wakulima waliokuwa wanatafuta Soko kuwa Mbaazi ina protini nyingi hivyo waile. Ndio majibu ya wataalamu wetu haya.....

MATATIZO TULIYONAYO BADO NI MAKUBWA.

Ajira kwa vijana, Mfumuko wa Bei kwa bidhaa za Ujenzi kama Semeti na Bati.

Kushuka kwa bei kwa mazao.Kuna haja ya kufikiria maeneo hayo kwa Kina sana.

Bidhaa muhimu kama Sukari nayo imepanda sana.

Tujadiliane kwa maslahi ya Taifa

Ole Mushi
0712702602View attachment 926193
 
Ningekua mimi ni rais ningemwamuru kila mwakilishi wa tz (balozi) analeta wawekezaji wasiopungua 100 kuja kuwekeza kwa kujenga viwanda tz kila mwaka

Ningeweka hiyo kama qualification ya kuteuliwa kuwa balozi

Duniani kuna nchi 195 tuchukulie 80 duniani zina uchumi imara hapa nazungumzia uchumi mkubwa na wa kati

Viwanda 100 kila balozi avilete kwa nchi 80?

100×80=8000
Hapo ni viwanda 8000

Viwanda 8000 kila mwaka kwa miaka 5?
8000×5= 40000
Hapo jee hatutafikia uchumi wa kati? Hapo sijaweka viwanda vya wazawa, mapato ya kawaida ya tra, utalii nk

Jpm angefanya hivi toka kaingia 2015 leo tungekua mbali sana
simple as that
 
Hapo vip!!

Katika hawamu hii, hawajafanikiwa kuleta na kufanya mpango wa maendeleo inayogusa nchi nzima bali ni hizi program ndogo zinazogusa ukanda fulani, mfano ununuzi wa ndege inamsadiaje mtu wa nachingweya mtwara, au treni ya umeme kutoka dar kwenda mwanza inamsadiaje mtu wa Oldadai -Arusha.

Mfano kipindi cha Kikwete ulianzishwa mpango wa shule za Kata Tanzania nzima na niwazi huu mpango imewagusa na kuwasaidia watanzania wengi katika kila kona ya Nchi.

Pili Kikwete alifanya mpango wa kujenga barabara za lami Nchi nzima na mpango huu imemgusa na kuwasaidia watanzania wote.

Mimi tokea uingie madarakani bado sijaona mpango uliokuja nao Kwa lengo la kuwasaidia watanzania au kuibadisha Tanzania Kwa ujumla, hizi Sijui treni za umeme na ununuzi wa ndege ni projects ndogo ndogo sana.

Hivi washauri wa rais Kwa nini msimshauri vizuri katika eneo la uchumi , mkaacha kumuogopa, Kwanini yeye ni Mungu bhana.

Hivi viprojects vidogo vidogo anavyofanya ni za level za mawaziri na wabunge.
 
Maji ambalo ni hitaji muhimu kwa uhai wa binadamu ni issue Tanzania karibu yote. Wakati wa kiangazi wenye nguvu hupata rizki kwa kuchotea maji wale wasio na nguvu au wenye u shuleni wa maisha.

Pesa inayotumika kugharamia maji ingeweza kuboresha makazi na kudhibiti wadudu kama mbu, tungedhibiti malaria.

Ulizia pesa ya budget ma maji mwaka huu wa fedha iliyofika Wizara ya maji.
 
Status
Not open for further replies.
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom