lilanga george
Member
- Jul 31, 2015
- 8
- 0
Ni mawazo mazur
Andika barua S.L.P. 9120 Daresalaam.anuani ya Ikulu.
Hana ubavu na suala la Zanzibar sababu siyo yeye aliye lianzisha.
Nenda tu pale kwenye geti la ikulu Ila usisahau kuvaa helmeti
MARY NAGU umemwacha wapi?
Mtimbie ikulu tu utamuonaBwana Yesu asifiwe!
Unajua dira yote ya Tanzania ya kesho Mungu amewapa Watumishi wake. Hivyo viongozi ni muhimu sana kuwa karibu na watumishi ndipo watakapoweza kufikia malengo.
Nami nikiwa kama Mchungaji Mungu amenipa ujumbe/ ushauri kwa Rais Magufuli juu ya Tanzania ya kesho.
Yaan nataka hata mtu atakayeweza kulipia kipindi kwenye Media, au anikutanishe na Mwandishi wa Habari awe ananihoji.
Au kama wewe ni Mwandishi wa Habari ebu tuwasiliane kwa simu No.0786100772,au 0757856336.
Maana Tanzania inayotajwa ya Mwaka 2025 haiwezi kufikiwa paspo kujua mpango, na mambo Mungu ameyakusudia yafanyike.
Ninaomba hiyo Neema na kibali kwa Mamlaka ya jina la Yesu Kristo.
Mary Nagu atakuwa mshauri wa rais
Autangazie UMMA wa watanzania kuwa hakushinda kihalali bali Lubuva na Kikwete walimbeba kibabe na kumtangaza mshindi.
Kwa kuwa umetumwa hapa ama umejituma na pengine utapeleka mrejesho, mwambie wazi miongoni mwa Marais walioingia records Za kukosa uhalali wa kuongoza Tanzania na wananchi wake ni yeye POMBE!
Mwambie, taifa hili linaumwa, lina huzuni kubwa na kuomboleza kwaajili ya udhalimu wa kutisha uliofanywa na Tume ya uchaguzi kwa maagizo ya Kikwete na ccm yao.
Mwambie, usione huu ukimya ukadhani sisi watanzania ni mapompompo na mazuzu!
Mwambie, tunakwenda madhabahuni mwa Mungu kumlilia ili kama huyu Mungu tunaemwabudu Yupo, Hakika haitochukua Muda sote tutakuwa mashuhuda!
Mwambie, tunaenda kumuuliza Mungu hivi yeye Ndio Mkuu au Lubuva ama Kikwete hata waweke mteule wao?