Manchester United Women are on fire right now

Getting under way in style

#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230115_205109_059.jpg
 
Yaani huyu Greenwood tumepoteza mashine ya mabao yule dogo akilitizama goli ni either kipa adake au kamba. Ni mara chache sana kipa akadaka shuti lake au kupaiza.
Sema kesi yake inasikilizwa, ukiangalia na umri wake ni kuombea kama atakutwa na hatia apewe nyundo chache akitoka atacheza tu tena, ila wenzetu wapo makini sana kwenye sheria, ngoja tusubiri
 
Hahaha mchizi boti umerejea..litimu lako likifanya vizuri kidogo ndio unaonekana. Au muda wote unakuwa shimoni nini
Wajinga wenzio waliniibia simu yangu, ila leo mungu kaniona, nimeokoa kachenji flani nimenunua simu nyingine.

Hivi msimu huu hilo litimu lako litachukua ubingwa kweli?
Maana bado kidogo leo vijana Viera wangekuvuta shati.
 
Back
Top Bottom