Eti wakuu...
Huyu Ras Simba Mwamba wa kufundisha English language (ung'eng'e) ana vituo DSM pekee Huku mikoani hamna..?
Mimi Niko mikoani nataka nijipige msasa kidogo wakuu.
Huu mtaa ninaoishi wazungu ni wengi mno. Nataka nipige nao story mwazo mwisho bila kukwamakwama
Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka akaachana naye akaenda kwa mwandishi mwingine.
Habari
Natafuta english medium primary school kwa Dar es salaam zenye school fees below 1 million . Kuna research nahitaji kufanya nao niwasiliane nao. Ntapendelea kwa Dar eneo lolote.
Asante
Hili limeniumiza sana
Elon Musk amesema kwamba Rais Donald Trump alikubali kuwa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufungwa, kufuatia siku kadhaa za uvumi kuhusu mustakabali wa shirika hilo baada ya ufadhili wake kusitishwa na wafanyakazi wake kadhaa kuwekwa...
My Brutally Honest Advice to Non-Native English Copywriters...
No one else in the industry will ever tell you this.
They'll either dance around the subject like an ostrich with their head in the sand...
Or lie to your face for fear of being 'cancelled'.
But because I:
1) Always...
Mhamasishaji wenu:
https://www.jamiiforums.com/threads/nasimama-na-bunge-la-iraqwi.2301833/
Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima.
Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio...
Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kwenda bar kwa maana chupa 2 mbili tu kwa kila siku 364 za mwaka mzima sio chini ya 500,000 kwa mwaka.
Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kuchukua wale mademu wa Telegram kwa maana demu mmoja tuseme 30,000 mara tatu kwa mwezi ni sawa na 90,000 kwa...
Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia.
mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika kuwa unapoteza pesa hapo 🤣🤣
Siku hizi hakuna cha inspiration za bibi titi mohamed.
Siku hizi unakutana na mwanamke mwenye mafanikio na alama katika taifa lakini njia ya kufika kwake ilikuwa kujipost uchi uchi mtandanoi, kuishi kwa scandal, kulamba pipi kijiti za wakubwa, kuhongwa na wanaume za watu then kupata connection...
Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja.
Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara...
Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto?
Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
Habari,
Tunatoa huduma bora na za kitaalamu za kutafsiri maandishi kutoka Kingereza kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kingereza kwa usahihi na umakini wa hali ya juu. Huduma zetu huhusisha sifa zifuatazo:
✅ Tafsiri inayobeba maana halisi bila kupotosha.
✅ Matumizi ya Kingereza/Kiswahili...
Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker,
The purpose of looking for that person is learning
Anyone interested please check me
ENGLISH TEACHERS TANZANIA
As a teacher preparing for a written aptude test in English or Written Test ,
it’s important to start with a clear understanding of the key areas that will be or are preferably to be assessed.
As an English teacher, you need to be familiar with a wide range of...
Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo)
Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree
0695252896
Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Ukiwa kwenye jamiii ya kiafrika
Then , ukawa unajua kuongea na kuandika English nzuri sana , automatically unaonekana wewe ni msomi na unaakili sana kuliko wengine , mbali zaidi unaweza ukatengwa .
Asee huu ni upumbavu wa hali ya juu sana
In reality , Neo colonialism Bado inatutesa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.